Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.
Swali langu ni je,route hiyo imekufa?
Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?
Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
HIZI NDEGE HIZI, YANI UNAANZISHA BIASHARA AMBAYO HUJAJUA HATA SOKO LAKE LAZIMA ULE HASARA
Hamna bana maelezoo mengi. Bora binti wa chekechea awe rais kuliko JiweYou can't start a business ukiwa 100% sure kwenye soko, MTU yoyote anaefanya biashara anajipa imani someday things will work out well, business sio kama ajira unasubiria fixed mwisho wa mwezi, at anytime any other opportunity can arise ,
MFANO south African airways has best airplanes services in Afrika, but it has frequent looses, in other words inaendeshwa kwa hasara: but haimaanishi wengine wasijaribu : see Ethiopia airways so profitable that it contributes to the country growth
Umeambiwa majaribio inawezekana wameona haina tijaNakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.
Swali langu ni je,route hiyo imekufa?
Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?
Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
Ndiyo mtupe taarifa mmefikia wapi so far kwenye usafirishaji wa hizo nyama za mbuzi.Ile haikua kwenye plan, ni ilitokea tu, so you can't judge an opportunity, you just take it ikiisha you look for another one , mbna pia izi ndege zinatumika kwenye maonyesho:
Opportunity ni opportunity tu,
Anza kumpa familia yako binti yako aiongize kwanza.Hamna bana maelezoo mengi. Bora binti wa chekechea awe rais kuliko Jiwe
Ukikumbuka wanunuzi wa "kirohoshow" walikoishia utajua huko kusafirisha nyama kulikopotelea....Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.
Swali langu ni je,route hiyo imekufa?
Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?
Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
Ni sawa mfanyabiashara wa daladala akodishwe sikumoja kwenye shuguli ya harusi alafu urudi baadae kumbeza kwanini hapati hizo tenda kila siku as if alinunua daladala kwaajili ya shuguli za maharusi....you have a very stupid way of reasoningNdiyo mtupe taarifa mmefikia wapi so far kwenye usafirishaji wa hizo nyama za mbuzi.
Kwa hiyo mkangoa viti vya li dreamliner kiss ruti ya majaribioUmeambiwa majaribio inawezekana wameona haina tija
Kumbe unafuatilia sana maendeleo ya shirika letu!mbona unajifanya kuponda na wala huna habari nalo
Uwezowako ni chini ya wastaniKituko cha karne! Ndege ya abiria inapakia mbuzi?!
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.
Swali langu ni je,route hiyo imekufa?
Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?
Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
Tuelezeni kama mmeishiwa mbuzi Mimi Nina kondoo wangu hapa Iringa mnipelekee Arusha.Huu umbea sasa Unataka kila ndege inapopaa wewe upewe taarfa?
Ilipopaa tulipewa taarifa na kila ikija mpya mnaandamana Terminal 1 kuipokea.Huu umbea sasa Unataka kila ndege inapopaa wewe upewe taarfa?