Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kwa hiyo wakiwa binadamu tatizo lako nn?wewe wasema? ebu acha kuweka matabaka: wote ni binadam bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wakiwa binadamu tatizo lako nn?wewe wasema? ebu acha kuweka matabaka: wote ni binadam bana
Message deliveredMbona unateseka sana? "Ulifikiri" upo kwenye ubongo wangu?
Una uhakika?Message delivered
Naamini hata wewe mwenyewe unajua kuwa unaongea upuuzi. Eti unaniuliza kama nimeshafanya biashara yeyote kubwa! Biashara kubwa unairank kwa vipimo gani?swali la kwanza: umeshawahi fanya biashara yoyote kubwa kabla sjakuuliza swali la pili: na kwa kuongezea hakuna biashara unaanzisha na uhakika we sio Mungu: you come up with an idea unaingia kwenye utekelezaji, katikati ya safari ya baishara unaweza kutana na opportunity zingine, at the same time unaweza kutana na loss za kufa mtu: and probability ya kufa kwa biashara its always there: hata uwe na plan ya miaka 10,000: ata uchore plan zote unazojua wewe
kingine: kwahio tuseme kwamba biznez zote ambazo zimefail hazikua na plan si ndo unachotaka kumaanisha? i am 100% sure you arent running any big bussiness at the moment ndo maaana umeongea huu upuuzi, so cha msingi tafuta mtu ambae anafanya biashara akwambie anachopitia:
there times profit inakua kubwa more than you expect and there times unakula hasara more than you expect, but they have a straight plan for there biznez, its normal
Naamini hata wewe mwenyewe unajua kuwa unaongea upuuzi. Eti unaniuliza kama nimeshafanya biashara yeyote kubwa! Biashara kubwa unairank kwa vipimo gani?
Capital?
Turn Over?
Assets?
Bila shaka akili kama hizi zako ndio zilitumika KUJARIBU kuweka depot ya mwendo kasi pale Jangwani. Mlikaa mkaamua kujaribu labda maji yanaweza yasifurike.
You can't start a business ukiwa 100% sure kwenye soko, MTU yoyote anaefanya biashara anajipa imani someday things will work out well, business sio kama ajira unasubiria fixed mwisho wa mwezi, at anytime any other opportunity can arise ,
MFANO south African airways has best airplanes services in Afrika, but it has frequent looses, in other words inaendeshwa kwa hasara: but haimaanishi wengine wasijaribu : see Ethiopia airways so profitable that it contributes to the country growth
Hizi ndo hoja ambazo CHADEMA wanebaki nazo.
Nimejarib kusoma hapa mara 2 tatu nikagundua kuwa umeshindwa kujibu swali uliloulizwa
Akili fupi bwana, ETI NIMEISHIA darasa la ngapi, kwani mimi ni marehemu? Ubongo mchache sana upo kichwani mwako. Mtu haishii darasa, anahitimu ngazi fulani na wakati wowote wa uhai wake anaweza kuendelea kutokea hapo.duuu, ila bro umeishia darasa la ngap? mbna aibu izi
Kangomba alilaumiwaaaaa kumbe ndio alikua anaokoa jahaziUkikumbuka wanunuzi wa "kirohoshow" walikoishia utajua huko kusafirisha nyama kulikopotelea....
Tatizo la nchi yetu ni kukosa vipaumbele na management...
Akili fupi bwana, ETI NIMEISHIA darasa la ngapi, kwani mimi ni marehemu? Ubongo mchache sana upo kichwani mwako. Mtu haishii darasa, anahitimu ngazi fulani na wakati wowote wa uhai wake anaweza kuendelea kutokea hapo.
Siku nyingine ujibidiishe kuwa na ukamilifu wa kiume, sio unaandika kama sister duu huko Instagram.
Unapoanza sentensi, anza na herufi kubwa
Ni ngapi sio ngap
Wadada ndio huandika mbna sababu ya uvivu na madeko ya kiuanamke, wanaume huandika MBONA
HIZI sio IZI.
Inaonesha hata kusoma nako ulijaribu, matokeo ukahitimu na hasara ya kutojua hata kuandika.
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.
Swali langu ni je,route hiyo imekufa?
Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?
Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
Zinawekwa kwenye buti za mizigo sio kwenye sitiKwa hiyo mkangoa viti vya li dreamliner kiss ruti ya majaribio
Hata hiyo baada ya muda nayo itawashinda tu.Imepata ruti ya India Mara tatu kwa wiki hivo ya mbuzi hailipi tena