Ile route ya kupeleka nyama Dubai iliishia wapi?

Ile route ya kupeleka nyama Dubai iliishia wapi?

You can't start a business ukiwa 100% sure kwenye soko, MTU yoyote anaefanya biashara anajipa imani someday things will work out well, business sio kama ajira unasubiria fixed mwisho wa mwezi, at anytime any other opportunity can arise ,

MFANO south African airways has best airplanes services in Afrika, but it has frequent looses, in other words inaendeshwa kwa hasara: but haimaanishi wengine wasijaribu : see Ethiopia airways so profitable that it contributes to the country growth
Hebu ondoa nadharia zako za njaa hapa, biashara ni MIPANGO na sio kujaribu. Hakuna Financial Institution yeyote ile inaweza kufund mradi usio na plan.

Uwekezaji usiozingatia utafiti wa awali ni uwekezaji mfu. Kujenga majumba ya kupangisha ya thamani mbali na mji yaweza kuwa biashara kubwa, at the same time ikawa biashara MBOVU. Lazima uwe na projection
 
Ni sawa mfanyabiashara wa daladala akodishwe sikumoja kwenye shuguli ya harusi alafu urudi baadae kumbeza kwanini hapati hizo tenda kila siku as if alinunua daladala kwaajili ya shuguli za maharusi....you have a very stupid way of reasoning
Acha kubadili mada, alisema kabisa kuwa ndege imepata tender itakuwa inapeleka nyama za mbuzi Dubai, vipi tena mbona mnakuwa wakali tukiulizia mrejesho??
 
Yule bwana wa kule Mwanza wa kiwanda cha kuchakata nyama Bw. Chobo niliwahi kumpigia simu kumuuliza vipi biashara hiyo ya kupeleka nyama ya mbuzi inaendeleaje maana nilikuwa na interest ya kuifanya.
Jibu lake sitasahau, alicheka na kuniambia ule ulikuwa mchezo wa kuigiza ulio mshirikisha RC Mongela kwa maagizo toka juu, na haiwezekani biashara hiyo kufanyika kwa kutumia ATCL labda magari hadi Nairobi kisha KQ au mashirika mengine ya uhakika.
Nikajinyamazia tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu umbea sasa Unataka kila ndege inapopaa wewe upewe taarfa?
Ndege zikiwa angani siyo siri. Kila anayetaka kuona anaona. Yeye hajaiona tena dreamliner letu likienda Dubai na mapaja ya mbuzi ndiyo maana anauliza
 
Hebu ondoa nadharia zako za njaa hapa, biashara ni MIPANGO na sio kujaribu. Hakuna Financial Institution yeyote ile inaweza kufund mradi usio na plan.

Uwekezaji usiozingatia utafiti wa awali ni uwekezaji mfu. Kujenga majumba ya kupangisha ya thamani mbali na mji yaweza kuwa biashara kubwa, at the same time ikawa biashara MBOVU. Lazima uwe na projection

swali la kwanza: umeshawahi fanya biashara yoyote kubwa kabla sjakuuliza swali la pili: na kwa kuongezea hakuna biashara unaanzisha na uhakika we sio Mungu: you come up with an idea unaingia kwenye utekelezaji, katikati ya safari ya baishara unaweza kutana na opportunity zingine, at the same time unaweza kutana na loss za kufa mtu: and probability ya kufa kwa biashara its always there: hata uwe na plan ya miaka 10,000: ata uchore plan zote unazojua wewe

kingine: kwahio tuseme kwamba biznez zote ambazo zimefail hazikua na plan si ndo unachotaka kumaanisha? i am 100% sure you arent running any big bussiness at the moment ndo maaana umeongea huu upuuzi, so cha msingi tafuta mtu ambae anafanya biashara akwambie anachopitia:

there times profit inakua kubwa more than you expect and there times unakula hasara more than you expect, but they have a straight plan for there biznez, its normal
 
Ni sawa mfanyabiashara wa daladala akodishwe sikumoja kwenye shuguli ya harusi alafu urudi baadae kumbeza kwanini hapati hizo tenda kila siku as if alinunua daladala kwaajili ya shuguli za maharusi....you have a very stupid way of reasoning
Hahaha kwa hiyo dreamliner letu kila mwenye kigodoro mtaani kwake anaruhusiwa kukodisha ili mradi anafika bei😂😂😂
 
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.

Swali langu ni je,route hiyo imekufa?

Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?

Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
Kazi ipo. Hata wewe kama una mzigo unaenda Greenland wafuate watakupa bei usafirishe. Haina maana wataenda Greenland kila siku. Btw nyama zilitoka Mwanza-Dar
 
Hakukua na ruti ya Dubai ,Nyama zilitolewa mwanza kuna Dar ,ndio zikaenda Dubai
 
Hahaha kwa hiyo dreamliner letu kila mwenye kigodoro mtaani kwake anaruhusiwa kukodisha ili mradi anafika bei😂😂😂
Wewe ulifikiri ndege ni kwa ajili ya wavaa suti tu
 
Hahaha kwa hiyo dreamliner letu kila mwenye kigodoro mtaani kwake anaruhusiwa kukodisha ili mradi anafika bei😂😂😂

sisi ni watu wenye chuki sana ndo maaana tunatumiwa sisi sisi wenyewe kuharibu kila kitu nchini kwetu: kutumaliza ni kazi ndogo sana,
 
Back
Top Bottom