Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Wala sijaona cha ajabu hapo sema tu hatukosagi ya kusema, tumezoea mpaka mtu ajichubue aende na saloon akandike makeup ndo tumuone mzuri, mjanja. Yote hayo ya nini sasa, aishi maisha yake aliyoyazoea wala tusimnange jamani ndivyo alivyo
 
she looks ok
Looking ok ain't gonna cut it for the miss world contest, she's got to be beautiful on the outside. She maybe a beautiful person on the inside so i'm not gonna judge her on that cause i don't know her on that level.
 
beauty is very subjective . ...namwona mzuri sana tu on the outside ...it's just okay kwako pia kumuona hatoshi
 
Kwa nchi yetu ilivyokubwa na warembo lukuki lakini lundenga kaamua kutuwekea hayo maajabu!!!!
 
Hili zoezi la kuwatafuta mamiss Tz limekuja kitofauti sana yani kwa sasa ndio naona kama wamepotea sana
 
Tatizo lake anaongea sana, nilimuona tangu siku ya kwanza wakati anahojiwa na EATV.
 
beauty is very subjective . ...namwona mzuri sana tu on the outside ...it's just okay kwako pia kumuona hatoshi
In a contest such as this, beauty inayotakiwa ni ile ambayo iko evident kwa wengi na sio ile ya kutafuta au mpaka utafakari. She looks OK
, i concur with you on that, period.
 
Looking ok ain't gonna cut it for the miss world contest, she's got to be beautiful on the outside. She maybe a beautiful person on the inside so i'm not gonna judge her on that cause i don't know her on that level.
Kwani uzuri wa nje ni nini ? Kuna SI Unit ya kupima uzuri ? Unachoona wewe kizuri ndio na mimi pia lazima nione ni kizuri ?
 
Apo unaonekana alikuwa ameandaa speech yake kwenye simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…