Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Wala sijaona cha ajabu hapo sema tu hatukosagi ya kusema, tumezoea mpaka mtu ajichubue aende na saloon akandike makeup ndo tumuone mzuri, mjanja. Yote hayo ya nini sasa, aishi maisha yake aliyoyazoea wala tusimnange jamani ndivyo alivyo
 
she looks ok
Looking ok ain't gonna cut it for the miss world contest, she's got to be beautiful on the outside. She maybe a beautiful person on the inside so i'm not gonna judge her on that cause i don't know her on that level.
 
Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
58d7fe2dcfdadb86057b5006bffb1dd1.jpg
Me mavazi sina shida nayo hata angevaa dera tatizo kanaongea sana bwana au me nina stress?
 
Looking ok ain't gonna cut it for the miss world contest, she's got to be beautiful on the outside. She maybe a beautiful person on the inside so i'm not gonna judge her on that cause i don't know her on that level.
beauty is very subjective . ...namwona mzuri sana tu on the outside ...it's just okay kwako pia kumuona hatoshi
 
Kwa nchi yetu ilivyokubwa na warembo lukuki lakini lundenga kaamua kutuwekea hayo maajabu!!!!
 
Sijui sana mambo ya urembo kama kuna vigezo vingine basi wanajua wadada hususan ni wadada wa mjini...Ila kwangu muonekano na mvuto ndio vina matter ili nijue huyu ni miss izo sifa nyigine ni za ndan sana..Ombi langu wanao chagua hawa mamiss waangalie kwanza uzuri wa nje hivyo vigezo vingine iwe nyongeza au watafute wakufunzi kwa ajili ya hivyo vigezo vingine la sivyo tutaendelea kusindikiza wenzetu wa mataifa mengine.. Mimi kwa upande wangu kama mwanaume huyo ni miss sawa ila sio wa kushindana ni wakawaida tu ila sio m baya ila kama anazo sifa nyingine pongezi kwake na anaonyesha ni wife material kwa muonekano
Hili zoezi la kuwatafuta mamiss Tz limekuja kitofauti sana yani kwa sasa ndio naona kama wamepotea sana
 
Tatizo lake anaongea sana, nilimuona tangu siku ya kwanza wakati anahojiwa na EATV.
 
beauty is very subjective . ...namwona mzuri sana tu on the outside ...it's just okay kwako pia kumuona hatoshi
In a contest such as this, beauty inayotakiwa ni ile ambayo iko evident kwa wengi na sio ile ya kutafuta au mpaka utafakari. She looks OK
, i concur with you on that, period.
 
Looking ok ain't gonna cut it for the miss world contest, she's got to be beautiful on the outside. She maybe a beautiful person on the inside so i'm not gonna judge her on that cause i don't know her on that level.
Kwani uzuri wa nje ni nini ? Kuna SI Unit ya kupima uzuri ? Unachoona wewe kizuri ndio na mimi pia lazima nione ni kizuri ?
 
Apo unaonekana alikuwa ameandaa speech yake kwenye simu.
 
Back
Top Bottom