Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Miss tz alikua yeye Ndio designer mwenyewe, yeye huyohuyo ajipige Picha, na yeye Huyo Huyo aweze kufanya yote
 
Alivyoshuka ghafla km kwenye pipa watu walizivuruga nywele zake
 
Miss World Kenya 2016
 
Attachments

  • 1482467869449.jpg
    57.6 KB · Views: 36
Kwenye contest, kuna vigezo. It's not about you and me.
Kwani robots ndio wanaotoa hivyo vigezo ,si watu wenye nyama na damu kama mimi na wewe ? Nisaidie hivyo vigezo vya kujua huyu ni mrembo ni vipi
 
In a contest such as this, beauty inayotakiwa ni ile ambayo iko evident kwa wengi na sio ile ya kutafuta au mpaka utafakari. She looks OK
, i concur with you on that, period.
hao wengi umejuaje kuwa hawaoni kuwa ni mzuri?
 
>>> MTOTO mremboooooooooo HATARI wazungu wabaguzi tuu huyu alistahili kuingia 3 BORA Wazungu wanatuonea wa tz nitakata rufaa uzuri sio kuwa mweupe pee watupe chetu miss world >>>
 
Kwani robots ndio wanaotoa hivyo vigezo ,si watu wenye nyama na damu kama mimi na wewe ? Nisaidie hivyo vigezo vya kujua huyu ni mrembo ni vipi
Mm na wewe sio wataalam wa beauty. Just beacause you are human being, doesn't make you a surgeon. Taaluma za watu hizo ndugu. Google on the Miss world contest usome.
 
Mm na wewe sio wataalam wa beauty. Just beacause you are human being, doesn't make you a surgeon. Taaluma za watu hizo ndugu. Google on the Miss world contest usome.
Aiseee na hitaji utaalamu wa kitu gani kujua huyu ni mzuri ?

Halafu kumbe ID zikiongea basi tunajuana sio ?
 
Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.
CRAZY COLOR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…