Dongo La Kiemba
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 1,830
- 1,263
Sio wote, hao ni Ukawa!Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote, hao ni Ukawa!Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
![]()
Kwenye contest, kuna vigezo. It's not about you and me.Kwani uzuri wa nje ni nini ? Kuna SI Unit ya kupima uzuri ? Unachoona wewe kizuri ndio na mimi pia lazima nione ni kizuri ?
La tsh. 15000yani miss tz anavaa wigi..
Kwani robots ndio wanaotoa hivyo vigezo ,si watu wenye nyama na damu kama mimi na wewe ? Nisaidie hivyo vigezo vya kujua huyu ni mrembo ni vipiKwenye contest, kuna vigezo. It's not about you and me.
[emoji2] [emoji15] [emoji15] [emoji16]Weka picha tuchangie
hao wengi umejuaje kuwa hawaoni kuwa ni mzuri?In a contest such as this, beauty inayotakiwa ni ile ambayo iko evident kwa wengi na sio ile ya kutafuta au mpaka utafakari. She looks OK
, i concur with you on that, period.
Mm na wewe sio wataalam wa beauty. Just beacause you are human being, doesn't make you a surgeon. Taaluma za watu hizo ndugu. Google on the Miss world contest usome.Kwani robots ndio wanaotoa hivyo vigezo ,si watu wenye nyama na damu kama mimi na wewe ? Nisaidie hivyo vigezo vya kujua huyu ni mrembo ni vipi
Aiseee na hitaji utaalamu wa kitu gani kujua huyu ni mzuri ?Mm na wewe sio wataalam wa beauty. Just beacause you are human being, doesn't make you a surgeon. Taaluma za watu hizo ndugu. Google on the Miss world contest usome.
so what?! she is not miss Tanzania becauce she is only 20?!hivi nyie mliokoment kwenye huu uzi,mna umri gani....
she is only 20 yrs old......
I rest my case! Obviously you and I are not on the same page.Aiseee na hitaji utaalamu wa kitu gani kujua huyu ni mzuri ?
Halafu kumbe ID zikiongea basi tunajuana sio ?
Kwani nani alisema tupo kwenye page moja ?I rest my case! Obviously you and I are not on the same page.
Sijui nikumbushe aliingia top 20 vile.....au?hao wengi umejuaje kuwa hawaoni kuwa ni mzuri?
Subiri domo,atakavyoliabisha taifa pale GabonYaani Diana Kwa mavazi Yale? Ni aibu kwa Taifa, utasema ametoka kusindikiza kigodoro mtaa wa pili
CRAZY COLORIle sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.