Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
58d7fe2dcfdadb86057b5006bffb1dd1.jpg
Ukweli yuko vizuri tu wabongo wamezoea vinguo vya kubaaana mpaka!!!
 
amekuzidi uzuri nini mbona umemkasirikia sana mwanamke mwenzio? punguzeni kula na matumbo ili muwe mamis walau. tatizo wanawake wa kibongo mnakula sana na kujiachia mwisho mnabaki manung'ayembe hadi aibu kuwatambulisha tukiongozana.
Ulishawahi kuniona lakini? Any way asante kwa ushauli
 
Ulishawahi kuniona lakini? Any way asante kwa ushauli
Huyu kweli haelewi hata maana ya yeye kuwa balozi, hapo anajibu swali la muandishi wa habari huku yuko busy na simu yake hii tu kwa wenzetu inatosha kumtoa kwenye kinyang'anyiro abaki kusindikiza wenzake tu, miss huyu ni mpenzi wa mitandio balaa.
 
Ulishawahi kuniona lakini? Any way asante kwa ushauli
nakufahamu, au unataka nikudescribe kila kitu hadi kwenu na wote unaoishi nao hapo kwenu? nije inbox?
 
Yaani mnam harass Mama yeyoo....acheni hizo bana.
 
so what?! she is not miss Tanzania becauce she is only 20?!

yes,ungekua mtu unayejiheshimu hata nje ya JF,huwezi ukakaa nyuma ya keyboard na kuanza kuongea mbovu kwa mtoto wa miaka 20!utakua na walakini kufanya hivyo
 
Hii sketi hata binti wa sitimbi anajua kua fashion yake imekwisha kitambo....


Diana katia aibu
 
Hayo mengine cpo ila kuchanganya lugha imenikera zaid kama unapendelea kiswahili ongea kiswahili kama nae amesahau kiswahili aongee tu kidhungu moja kwa moja
 
Back
Top Bottom