Haaaa haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mweh wigi limekaa kama uyoga?Yule Diana kweli alivaa kikwao sijui msukuma yule maana alijitwisha wigi likakaa kama uyoga wa serengeti yaani katuaibisha sio kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mweh wigi limekaa kama uyoga?Yule Diana kweli alivaa kikwao sijui msukuma yule maana alijitwisha wigi likakaa kama uyoga wa serengeti yaani katuaibisha sio kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamnSijaona aliye comment kuhusu ile make up...
Mtoto mbishi kula akiiona anakula fastaaa..
Kweli yani yuko vile mtu ambae anapenda kucomplainMe mavazi sina shida nayo hata angevaa dera tatizo kanaongea sana bwana au me nina stress?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaaaaAf kama anautapiamlo Iv....
Sijamfurahia kabisaKweli yani yuko vile mtu ambae anapenda kucomplain
Pole sn mgogoone Hii kitu imetuathiri sn mbaya zaid anaongea kiswnglish huku akizitengeneza nywele zile za kuvaa kama vile zake za asili.unajiuliza angekuwa na zake halis ndefu kama za kihindi ingekuwaje?Ntenia nimeona aibu kwa kusoma Na kusikia KiswaNglishi mpaka nimekuwa sugu wa aibu.
Hata humu JF wako wengi tu.
Acha hizo wewee, ina maana kama yupo hovyo hovyo watu wasiseme kisa eti wanawake sijui tupendane. Sasa kuambiana ukweli si ndo kupendana wenyewe. Hivi uliona miss Kenya alivoshuka airport. The matter here sio kwamba nguo mbaya au vipi, ila she is not smart as ahe was supposed to appear kama miss Tz ambaye anajua anakuja kupokelewa airport na mi camera ya waandishi. Hata nikiwa naenda kwetu Mbeya sivaagi hivi.Wanao Mponda ni wadada wenzake na wengine mama zake kabisa... Siku wanawake wakipendana itakua ndo mwisho wa dunia.
Sio kuvaa vichupi alipaswa avae smart.. Huyo ni miss Tanzania, anabeba taswira ya urembo. Appearance matters alot. Tafuta picha ua miss Kenya uone. Kavaa gauni lake refuu hata sio kichupi. Afu uje ku compare na Diana.Mbona katoka poa sana tu....Wanawake wa siku hizi bana yaan mlitaka avae chupi ndo mseme kapendeza?
Alikuwa anapiga mzigo....Nimependa staili ya mpiga picha uyo wa nyuma
Duuu......Hilo wigi km kata la mtungi wa majiKavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
![]()
Kwani kula mbunye ni faida?Hili shindano.wanaolidhamini sijui wanafaidika nn maana halina faida yoyote. Au huwa wanakula mbunye nini?
Wanao Mponda ni wadada wenzake na wengine mama zake kabisa... Siku wanawake wakipendana itakua ndo mwisho wa dunia.
Me mavazi sina shida nayo hata angevaa dera tatizo kanaongea sana bwana au me nina stress?