Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Yule Diana kweli alivaa kikwao sijui msukuma yule maana alijitwisha wigi likakaa kama uyoga wa serengeti yaani katuaibisha sio kidogo.
Haaaa haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mweh wigi limekaa kama uyoga?
 
McKan: Hey Tom, i told u blacks dont respect each other, and you disagreed. Now look, blacks journalists gave all the microphones and sound recorders to their Miss World representative so as she can record herself while they starred at her. What a disrespect.

Tom: Sh******t
 
Ntenia nimeona aibu kwa kusoma Na kusikia KiswaNglishi mpaka nimekuwa sugu wa aibu.
Hata humu JF wako wengi tu.
Pole sn mgogoone Hii kitu imetuathiri sn mbaya zaid anaongea kiswnglish huku akizitengeneza nywele zile za kuvaa kama vile zake za asili.unajiuliza angekuwa na zake halis ndefu kama za kihindi ingekuwaje?
 
Wanao Mponda ni wadada wenzake na wengine mama zake kabisa... Siku wanawake wakipendana itakua ndo mwisho wa dunia.
Acha hizo wewee, ina maana kama yupo hovyo hovyo watu wasiseme kisa eti wanawake sijui tupendane. Sasa kuambiana ukweli si ndo kupendana wenyewe. Hivi uliona miss Kenya alivoshuka airport. The matter here sio kwamba nguo mbaya au vipi, ila she is not smart as ahe was supposed to appear kama miss Tz ambaye anajua anakuja kupokelewa airport na mi camera ya waandishi. Hata nikiwa naenda kwetu Mbeya sivaagi hivi.
Alipaswa avae smart, u know what I mean?? Kama hujui kuvaa smart ndo utasema yupo sawa.
 
Mbona katoka poa sana tu....Wanawake wa siku hizi bana yaan mlitaka avae chupi ndo mseme kapendeza?
Sio kuvaa vichupi alipaswa avae smart.. Huyo ni miss Tanzania, anabeba taswira ya urembo. Appearance matters alot. Tafuta picha ua miss Kenya uone. Kavaa gauni lake refuu hata sio kichupi. Afu uje ku compare na Diana.
Umaridadi muhimu
 
Ktk mambo yanyonikera duniani ni binadamu kuvaa wigi
 
Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
58d7fe2dcfdadb86057b5006bffb1dd1.jpg
Duuu......Hilo wigi km kata la mtungi wa maji
 
Mmmmh! Kama akipitia humu atakoma kurinda maana si kuzodolewa huku! Loh!
 
Huko si kupendana. Ni unafki.

Mtu kama hajapendeza mwambie ukweli. Usimdanganye
Wanao Mponda ni wadada wenzake na wengine mama zake kabisa... Siku wanawake wakipendana itakua ndo mwisho wa dunia.
 
Back
Top Bottom