Arudi tu hapa Kakuma ahudumiwe upya kama hapo kale.Akirud Somalia itakuwa balaa, usalama wake utakuwaje? Wasomali wanasiasa wataogopa umaarufu wake na watahis kwamba ataweza kuwa Rais hivyo watammaliza, bora arudishwe Kenya mahal alipotokea kwenye zile kambi za wakimbiz
Ndio akome kilichokuwa kinamuwasha nini mpka awe msumbufu,arudi kwao wakimuua basi watakuwa wametusadia kumuua gaidiAkirud Somalia itakuwa balaa, usalama wake utakuwaje? Wasomali wanasiasa wataogopa umaarufu wake na watahis kwamba ataweza kuwa Rais hivyo watammaliza, bora arudishwe Kenya mahal alipotokea kwenye zile kambi za wakimbiz
Subhanallah!Mswalie mtume ndugu yangu!Ndio akome kilichokuwa kinamuwasha nini mpka awe msumbufu,arudi kwao wakimuua basi watakuwa wametusadia kumuua gaidi
Jinsi ulivyoandika ni kama vile wewe binafsi una chuki na huyo msomali.Ilham Omar ni mbunge muislamu ndani ya Congress akiwa ni miongoni mwa wabunge waislamu kupitia mipango haramu ya Muslim Brotherhood (MB)ya kuchukua taratibu tamati ya kuendesha serikali ya America. Mbunge huyu pamoja na kusimamia Agenda ya MB pia amekuwa msitari wa mbele kuhakikisha Taifa la Israel linaangamizwa na kufutiliwa mbali na Wapalestina. Amejizolea umaarufu sana ndani ya chama cha Democrat ( Islamist communists) kutokana na ushawishi wake kupitia kuzungumza.
Imekuja kubainika kuwa Uraia wake wa USA aliupata kwa udanganyifu. Kwanza baba yake alidanganya anakimbia vita Somalia, wakati kumbe yeye ndiye alikuwa mmoja wa viongozi wa juu ndani ya Serikali ya Siad Bareh ambao walikuwa wanaua watu. Baba yake alikuwa ni mmoja wa Majenerali wa Jeshi. Ktk kupata uraia wa USA yeye alificha taarifa hizi.
Mbili Ilham Omar wakati baba yake anaomba uraia, walidanganya umri wa Ilham kuwa bado hajatimiza miaka 18 hivyo automatically akapata uraia kupitia baba (derivative naturalization).
Serikali ya Joe Biden ilianzishaga uchunguzi wa suala hili lakini wakaliachia njiani. Trump akalianzisha upya na hivi juzi juzi ndani ya mwezi huu October DOJ wakapitisha msako kwenye nyumba yake ya Washington DC na kuchukua documents kadhaa.
Kifuatacho kinafurahisha, kwani very likely anarudi kwao shithole Somalia.
Ndipo mtajua hamjui nyinyi islamists! Wote wanaoisingizia Israel kwa propaganda zao za uongo wataanguka mmoja mmoja.
Mtamuondoa kwa nguvu ipi, au kwa vimaneno vya taarabu?Itakuwa mwanzo na nyoe muondoke nchi za kiislamu 🤣🤣kuanzia saudia mtoe majeshi yenu yote ..Mmeshaanza iraq ,twende kote muondoke kabisa halafu tuone nna aliyekuwa msumbufy.
Nyie mna taarabu na hamuwezi . Mkubali kuondoka nchi zao , jiulize kwa nn mnavamia nchi nyingine kama sio nyege ?Mtamuondoa kwa nguvu ipi, au kwa vimaneno vya taarabu?
Trouble Makers hawa jamaa hawafadhilikiIlham Omar ni mbunge muislamu ndani ya Congress akiwa ni miongoni mwa wabunge waislamu kupitia mipango haramu ya Muslim Brotherhood (MB)ya kuchukua taratibu tamati ya kuendesha serikali ya America. Mbunge huyu pamoja na kusimamia Agenda ya MB pia amekuwa msitari wa mbele kuhakikisha Taifa la Israel linaangamizwa na kufutiliwa mbali na Wapalestina. Amejizolea umaarufu sana ndani ya chama cha Democrat ( Islamist communists) kutokana na ushawishi wake kupitia kuzungumza.
Imekuja kubainika kuwa Uraia wake wa USA aliupata kwa udanganyifu. Kwanza baba yake alidanganya anakimbia vita Somalia, wakati kumbe yeye ndiye alikuwa mmoja wa viongozi wa juu ndani ya Serikali ya Siad Bareh ambao walikuwa wanaua watu. Baba yake alikuwa ni mmoja wa Majenerali wa Jeshi. Ktk kupata uraia wa USA yeye alificha taarifa hizi.
Mbili Ilham Omar wakati baba yake anaomba uraia, walidanganya umri wa Ilham kuwa bado hajatimiza miaka 18 hivyo automatically akapata uraia kupitia baba (derivative naturalization).
Serikali ya Joe Biden ilianzishaga uchunguzi wa suala hili lakini wakaliachia njiani. Trump akalianzisha upya na hivi juzi juzi ndani ya mwezi huu October DOJ wakapitisha msako kwenye nyumba yake ya Washington DC na kuchukua documents kadhaa.
Kifuatacho kinafurahisha, kwani very likely anarudi kwao shithole Somalia.
Ndipo mtajua hamjui nyinyi islamists! Wote wanaoisingizia Israel kwa propaganda zao za uongo wataanguka mmoja mmoja.
Nyie ndio kina kondoo waliopoteaTrump timua hiyo khenge.
Wanamla kichwa huko Somalia hawataki mambo ya kingeseAkirud Somalia itakuwa balaa, usalama wake utakuwaje? Wasomali wanasiasa wataogopa umaarufu wake na watahis kwamba ataweza kuwa Rais hivyo watammaliza, bora arudishwe Kenya mahal alipotokea kwenye zile kambi za wakimbiz
badala ya kujadili muwakilishi wa Congress, unajadili Uislam?Ilham Omar ni mbunge muislamu ndani ya Congress akiwa ni miongoni mwa wabunge waislamu kupitia mipango haramu ya Muslim Brotherhood (MB)ya kuchukua taratibu tamati ya kuendesha serikali ya America. Mbunge huyu pamoja na kusimamia Agenda ya MB pia amekuwa msitari wa mbele kuhakikisha Taifa la Israel linaangamizwa na kufutiliwa mbali na Wapalestina. Amejizolea umaarufu sana ndani ya chama cha Democrat ( Islamist communists) kutokana na ushawishi wake kupitia kuzungumza.
Imekuja kubainika kuwa Uraia wake wa USA aliupata kwa udanganyifu. Kwanza baba yake alidanganya anakimbia vita Somalia, wakati kumbe yeye ndiye alikuwa mmoja wa viongozi wa juu ndani ya Serikali ya Siad Bareh ambao walikuwa wanaua watu. Baba yake alikuwa ni mmoja wa Majenerali wa Jeshi. Ktk kupata uraia wa USA yeye alificha taarifa hizi.
Mbili Ilham Omar wakati baba yake anaomba uraia, walidanganya umri wa Ilham kuwa bado hajatimiza miaka 18 hivyo automatically akapata uraia kupitia baba (derivative naturalization).
Serikali ya Joe Biden ilianzishaga uchunguzi wa suala hili lakini wakaliachia njiani. Trump akalianzisha upya na hivi juzi juzi ndani ya mwezi huu October DOJ wakapitisha msako kwenye nyumba yake ya Washington DC na kuchukua documents kadhaa.
Kifuatacho kinafurahisha, kwani very likely anarudi kwao shithole Somalia.
Ndipo mtajua hamjui nyinyi islamists! Wote wanaoisingizia Israel kwa propaganda zao za uongo wataanguka mmoja mmoja.
Ilham Omar ni mbunge muislamu ndani ya Congress akiwa ni miongoni mwa wabunge waislamu kupitia mipango haramu ya Muslim Brotherhood (MB)ya kuchukua taratibu tamati ya kuendesha serikali ya America.
Mbunge huyu pamoja na kusimamia Agenda ya MB pia amekuwa msitari wa mbele kuhakikisha Taifa la Israel linaangamizwa na kufutiliwa mbali na Wapalestina. Amejizolea umaarufu sana ndani ya chama cha Democrat ( Islamist communists) kutokana na ushawishi wake kupitia kuzungumza.
Imekuja kubainika kuwa Uraia wake wa USA aliupata kwa udanganyifu. Kwanza baba yake alidanganya anakimbia vita Somalia, wakati kumbe yeye ndiye alikuwa mmoja wa viongozi wa juu ndani ya Serikali ya Siad Bareh ambao walikuwa wanaua watu. Baba yake alikuwa ni mmoja wa Majenerali wa Jeshi. Ktk kupata uraia wa USA yeye alificha taarifa hizi.
Mbili Ilham Omar wakati baba yake anaomba uraia, walidanganya umri wa Ilham kuwa bado hajatimiza miaka 18 hivyo automatically akapata uraia kupitia baba (derivative naturalization).
Serikali ya Joe Biden ilianzishaga uchunguzi wa suala hili lakini wakaliachia njiani. Trump akalianzisha upya na hivi juzi juzi ndani ya mwezi huu October DOJ wakapitisha msako kwenye nyumba yake ya Washington DC na kuchukua documents kadhaa.
Kifuatacho kinafurahisha, kwani very likely anarudi kwao shithole Somalia.
Ndipo mtajua hamjui nyinyi islamists! Wote wanaoisingizia Israel kwa propaganda zao za uongo wataanguka mmoja mmoja.
Huyo Raisi wako hivi sasa ni nani ??Mwanamke awezi kuwa rais kirahisi kwenye nchi za kiislamu au kiarabu au hata somalia.... huo upumbavu unafanywa na waislamuwa ngozi nyeusi tu..
Na pengine walioghushi vyeti na yeye yumobadala ya kujadili muwakilish wa Congress, unajadili Uislam?
Kwani aliingizwa Congress na waislam? Unafikiri wapo raia wangapi kule Marekani wameghushi vyeti?
Hapa nyumbani wenyewe wapo kwa mamia walio ghushi vyeti vya shule, na mengine mengi
Uwezo wetu wa kutumia maarifa ni duni sana!!!
Wakumbushe haya CCM na genge lao la wahuni.Hahahaa huyo yawezekana kweli alidanganya wakati anaomba uraia.
Ila haya ndo matokeo ya lawfare.
Walimfanyia mbaya Trump huku wakisahau kuwa siku moja na wao hawatakuwepo madarakani.
Ona sasa jinsi kibao kilivyogeuka.
Lawfare ni mbaya sana.
Low IQ soma nilicho andika upya..kwani kahaba anaongoza nchi ya Kiislamu ‽Huyo Raisi wako hivi sasa ni nani ??