Ilhan Omar Mbunge Muislamu wa Congress (USA) mwenye asili ya Somalia mbioni kuwa deported arudi kwao

Ilhan Omar Mbunge Muislamu wa Congress (USA) mwenye asili ya Somalia mbioni kuwa deported arudi kwao

Naona wengi Wana comment Kwa chuki na mihemko ya ajabu. Bila kuegemea upande wowote, ilhan Omar ameanza kusakamwa muda mrefu, Kwa nini? Ni Kwa sababu amekuwa kinyume na maslahi ya Israeli.

Huyu bidada, AIPAC wametumia mamilion kwenye kampeni ili ashindwe na cha kushangaza Kati ya chaguzi kumi alizowahi kushiriki ameshinda zote, ni kwa kuwa watu wanamkubali, na hapo Minnesota hawawezi kumuangusha Kwa nguvu ya Kura, Kwa sababu anakubalika Sana na watu
 
Racists gonna racist.
Xenophobes gonna xenophobe.
Misogynists gonna misogynist.
Ignoramuses gonna ignoramus.

Ni distraction ya uchaguzi na intimidation kwa wapinzani wake

Ilhan ameishi US muda mrefu zaidi kuliko first hooker , Melanie ambaye naye ana case ya aina hiyo, na alimzaa Baron, anchor baby kabla ya kuwa raia pia
Elon Musk naye ana case ya aina hiyo
Alifanya kazi kwa visa ya uanafunzi, kosa pia

Trump anafungua pandora box na Democrats watafanya hivyo wakichukua nchi

Ni aibu, ujinga na ushamba kushabikia manyanyaso ya mtu kwa jinsia, rangi na dini yake dunia ya leo ambapo watu wamechanhanyikana sana kwa kuishi, kuoa na kukaa jamii za watu wengine
Umesoma vizuri? Umeambiwa anataka Palestine iwamalize Israel, sasa aende huko nchini kwake akaendeleze hayo mapambano yake.
 
Wame chelewa sana Wana paswa kua na msimamo kama wa Kiongozi Mkuu wa Poland anasema Be Like Poland
Safisha safisha wavaa vilemba na vipedo wafunika nyuso na wapiga kelele za alfajiri warudi kwenye nchi zao.
 
Mwanamke awezi kuwa rais kirahisi kwenye nchi za kiislamu au kiarabu au hata somalia.... huo upumbavu unafanywa na waislamu wa ngozi nyeusi tu..
Mbona Pakistan ilishaongozwa na Benanzir Bhutto mwanawama wa chuma!! Hata Bangladesh huko serikali ilikua inahama kutoka kwa Sheikh Hassina na khaled zia tokea 1990s huko so wala sio issue ngeni.
 
Mtanambia apa

Na Uchaguzi anashinda kwa kishindo

Uyo Trump ni zwazwa tu kwenye Uchaguzi unaenda kumsumbua mgombea kipindi tayali yeye Mgombea mteule wa Democratic !!

ni wazi unamuongezea kura za uruma
za Wananchi wengi zaidi !!!!
Trump ni zwazwa kama samuya, akili kisoda!.
Itakuwa wote wawili walifeli form 4 hawa!
 
Nimegundua islamaphobia inasumbua watu wengi Sana, huyu bidada uchaguzi wa mwanzo aliishinda Kwa asilimia 80, nalicha ya kuwa AIPAC wameweka mikono yao pale, lakini haijufua dafu.

Kuna mwingine anakuambia ni gaidi, je amefanya kipi mpaka amekuwa gaidi??
 
Ilham Omar ni mbunge muislamu ndani ya Congress akiwa ni miongoni mwa wabunge waislamu kupitia mipango haramu ya Muslim Brotherhood (MB)ya kuchukua taratibu tamati ya kuendesha serikali ya America.

Mbunge huyu pamoja na kusimamia Agenda ya MB pia amekuwa msitari wa mbele kuhakikisha Taifa la Israel linaangamizwa na kufutiliwa mbali na Wapalestina. Amejizolea umaarufu sana ndani ya chama cha Democrat ( Islamist communists) kutokana na ushawishi wake kupitia kuzungumza.

Imekuja kubainika kuwa Uraia wake wa USA aliupata kwa udanganyifu. Kwanza baba yake alidanganya anakimbia vita Somalia, wakati kumbe yeye ndiye alikuwa mmoja wa viongozi wa juu ndani ya Serikali ya Siad Bareh ambao walikuwa wanaua watu. Baba yake alikuwa ni mmoja wa Majenerali wa Jeshi. Ktk kupata uraia wa USA yeye alificha taarifa hizi.

Mbili Ilham Omar wakati baba yake anaomba uraia, walidanganya umri wa Ilham kuwa bado hajatimiza miaka 18 hivyo automatically akapata uraia kupitia baba (derivative naturalization).

Serikali ya Joe Biden ilianzishaga uchunguzi wa suala hili lakini wakaliachia njiani. Trump akalianzisha upya na hivi juzi juzi ndani ya mwezi huu October DOJ wakapitisha msako kwenye nyumba yake ya Washington DC na kuchukua documents kadhaa.

Kifuatacho kinafurahisha, kwani very likely anarudi kwao shithole Somalia.

Ndipo mtajua hamjui nyinyi islamists! Wote wanaoisingizia Israel kwa propaganda zao za uongo wataanguka mmoja mmoja.
Makafiri mna chuki sana na walio waislam! Hata Rais Samia mnamchukia sababu ya Dini yake tu si kingine washenzi nyie!

Na kamwe hamtoshika tena madaraka katika Nchi,kwa mauaji mliyofanya October 29,msahau kabisa
 
Wewe mpuuzi uliyejaa chuki za Kidini jadili haya mambo kwa mrengo wa Kisiasa acha ushabiki.

Israel unayoshabikia haitambui kabisa uwepo wa huyo Jesus wako kijana.

Haya yote ni madhara ya mafundisho ya kulishwa chuki dhidi ya Uislam.
Haya majitu ya kikristo Yana chuki sana, mauaji yote ya October 29 wao ndio source..
 
Wazayuni walipambana nae kwenye kura za wagombea wa
Democratic
Zayuni wakamsapoti mshindani wake Mkuu

Lkn mwisho Wazayuni na mgombea wao wakaangukia pua!!

Ilihan kaibuka Mshindi
Kwasasa tayali ni mgombea wa Democratic kwenye Uchaguzi wa November 3

Unawezaje kumnyang,anya raia wake !!!

MAHAKAMA zipo tayali kumaliza ngebe za Trump!!!!
Wewe utakuwa wa dini ile ya Mwenyaaaaaaazi Mungu
 
Nimegundua islamaphobia inasumbua watu wengi Sana, huyu bidada uchaguzi wa mwanzo aliishinda Kwa asilimia 80, nalicha ya kuwa AIPAC wameweka mikono yao pale, lakini haijufua dafu.

Kuna mwingine anakuambia ni gaidi, je amefanya kipi mpaka amekuwa gaidi??
Mimi kwenye vitu kama hivi huwa najiuliza wa imani na mtizamo tofauti na wake anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi kule kwao Somalia.

Huu ustaarabu wa wenzetu kwanini sisi hatuna?
 
Back
Top Bottom