Ilhan Omar Mbunge Muislamu wa Congress (USA) mwenye asili ya Somalia mbioni kuwa deported arudi kwao

Ilhan Omar Mbunge Muislamu wa Congress (USA) mwenye asili ya Somalia mbioni kuwa deported arudi kwao

Makafiri mna chuki sana na walio waislam! Hata Rais Samia mnamchukia sababu ya Dini yake tu si kingine washenzi nyie!

Na kamwe hamtoshika tena madaraka katika Nchi,kwa mauaji mliyofanya October 29,msahau kabisa
Mkuu tusaidie kidogo, kwa mfano mtu akisema Samia anahusika na mauaji ya October 29, dini yake inaingiaje hapo?
 
Mimi kwenye vitu kama hivi huwa najiuliza wa imani na mtizamo tofauti na wake anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi kule kwao Somalia.

Huu ustaarabu wa wenzetu kwanini sisi hatuna?
Tunatofautiana mitazamo kiongozi. Mimi huwaga nashangaa Sana watu wenye chuki dhidi ya Dini flani, kiuhalisia kwangu mimi siwezi kuishi na chuki ya MTU au dini yoyote.

Binadamu wote ni sawa, kushabakia mauaji na machuki ya mambo ya Dini ni ujinga, unamuita MTU kafiri kwa lipi, Una chuki dhidi ya ukiristo inakusaidia nini labda. Maswali ni mengi mkuu.
 
Makafiri mna chuki sana na walio waislam! Hata Rais Samia mnamchukia sababu ya Dini yake tu si kingine washenzi nyie!

Na kamwe hamtoshika tena madaraka katika Nchi,kwa mauaji mliyofanya October 29,msahau kabisa
Hatuwachukii Waislamu, bali itikadi ya Uislamu na Muhammad aliyewaingiza chaka! Akawapandikizia chuki dhidi ya wasiowaislamu.
Halafu nikwambie kitu? Muislamu mwenzenu Ilham Alievu

Hatuwachukii waislamu, lahasha. Bali tunachukizwa na itikadi ya Uislamu na Mtume Muhammad aliyewapandikizia chuki dhidi ya wasio waislamu. Chuki ambayo imewafanya kila nchi mnapoingia amani inaondoka.
Nyinyi tawaleni hii nchi yote, kwani tunashida? Itikadi ya Uislamu badala ya kuwaelekeza muipate ahera nyinyi mmejikita kwenye kunyakua Tawala za Kidunia; endeleeni ila mjue hamuwezi shindana na Yesu. Miongoni mwenu wenyewe Yesu atatokeza Mtawala atakayewageuka. Ona kinachotokea Burkina Faso Ibrahim Traore muislamu mwenzenu kawageuka. Pia angalia kule Azerbaijan Muislamu mwenzenu Ilham Aharev Rais wa Azerbaijan kapiga marufuku watoto wa Shule kuvaa hijab shuleni. Mark my word kitawaramba
 
Kesi kama yake hatakama Trump atafanikiwa kumvua uraia na kumvukuza Marekani

bado
Akiondoka Trump Madarakani Anaweza kushinda kesi na kudai fidia ya Mapesa mengi!!!!

Hata ivyo Process ya kumnyang,anya uraia Uyo Binti ni ngumu sana kuwezekekana kwa kipindi ichi kidogo kabla ya Uchaguzi wa November

Ikiwa Trump wataendelea kutaka kumnyang,anya
wkt tayali Bint ni Mbunge manake ngoma itakuwa ngumu zaidi !!!

Sababu tayali Bunge litakuwa chini ya Democratic kunauwezekano mkubwa kibao kikamgeukia Trump nayeye kufukuzwa kama Rais na Bunge lao ✍️
Endelea kuota! Kwanza the so called Red-Green alliance huko west meaning the unholy alliance between socialist parties and Islam is doomed to collapse, be it through defeat by Conservative parties on the electoral ballot au wawili hao kumwagikana. Stay tuned. Tarehe 25 October President Lula Da Silver wa Brazil tunam write off; November 5 Huko USA msubilie wonders, Democrats gonna crush out; later that November Pedro Sanchez wa Spain tunam write off na 2027 huko s France Marine Le Pen anachukua nchi. Hapo bado kidogo tu na Germany islamists are gonna crush out. Hivyo my friend Maislamists you time is over.
 
What President Trump is doing is wrong; it is an act of discrimination and oppression.
Kabla hajaja tuliwaambia atawanyoosha. Nyinyi mmezoea Taqqya hadi kwenye taratibu na sheria za serikali za kibinadamu. Huu ni mwanzo wa utungu wa kuzaa kwa mwanamke. Hadi kufikia 2029 mengi yatafichuka kuhusiana na itikadi zenu za islam. Huko Europe, Bunge limelitangaza rasmi kundi la Muslim Brotherhood kuwa la Kigaidi. Mdogo mdogo mnabanwa. Na akili yenu ilivyo ya kishetani mta resort kwenye violence na hapo ndipo mtamalizwa kabisa. Time left is short for satan allah
 
Hatuwachukii Waislamu, bali itikadi ya Uislamu na Muhammad aliyewaingiza chaka! Akawapandikizia chuki dhidi ya wasiowaislamu.
Halafu nikwambie kitu? Muislamu mwenzenu Ilham Alievu

Hatuwachukii waislamu, lahasha. Bali tunachukizwa na itikadi ya Uislamu na Mtume Muhammad aliyewapandikizia chuki dhidi ya wasio waislamu. Chuki ambayo imewafanya kila nchi mnapoingia amani inaondoka.
Nyinyi tawaleni hii nchi yote, kwani tunashida? Itikadi ya Uislamu badala ya kuwaelekeza muipate ahera nyinyi mmejikita kwenye kunyakua Tawala za Kidunia; endeleeni ila mjue hamuwezi shindana na Yesu. Miongoni mwenu wenyewe Yesu atatokeza Mtawala atakayewageuka. Ona kinachotokea Burkina Faso Ibrahim Traore muislamu mwenzenu kawageuka. Pia angalia kule Azerbaijan Muislamu mwenzenu Ilham Aharev Rais wa Azerbaijan kapiga marufuku watoto wa Shule kuvaa hijab shuleni. Mark my word kitawaramba
Kwa hiyo pale Syria, Iraq na nchi nyingine alipopita marekani ndio kuna Amani. Arzebeijan ni Muslim country, ni tamaduni zao na kwa nini umpangie mtu aende kinyume na misingi ya maisha Yao.

Ile ni nchi ya kiislamu, embu fikiria akitokea kiongozi yoyote let's say Marekani, akaamurisha watu wavae hijabu utaona ni sawa?. Msingi wake ni hakuna atakayekubali mambo ya hijabu sio tamaduni zao.
 
Kipiga mtu mawe mpaka akafa. eti amezini. Unyama huo amefundishwa madrasa na hivyo kuuleta serikalini
Mbona kwenye biblia, yalitolewa maagizo na Mungu mwenyewe kuwa anayezini apigwe mawe mpaka kufa, tena bila huruma.

Nadhani hii migogoro haina haja ya kuingiza dini maana ni migogoro ya kisiasa tu.
 
Mbona kwenye biblia, yalitolewa maagizo na Mungu mwenyewe kuwa anayezini apigwe mawe mpaka kufa, tena bila huruma.

Nadhani hii migogoro haina haja ya kuingiza dini maana ni migogoro ya kisiasa tu.
Naomba verse hiyo
 
Naomba verse hiyo
Kumbukumbu la Torati 22:23-24
[23]Pakiwa na kijana aliye mwanamwali ameposwa na mume, na mwanamume akimkuta mjini, akalala naye;
[24]watoeni nje katika lango la mji ule, mkawapige kwa mawe hata wafe; yule kijana, kwa kuwa hakupiga ukelele, naye yu ndani ya mji; na yule mume, kwa kuwa amemtweza mke wa mwenzake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
 
Back
Top Bottom