Ilhan Omar Mbunge Muislamu wa Congress (USA) mwenye asili ya Somalia mbioni kuwa deported arudi kwao

Kwanza mimi sio muislam labda hunifahamu kabisa humu JF.

Acha kupotosha kwani Lebanon kaskazini ni sehemu ya nchi ya ahadi? Mbona manabii kutokea phoenicia huko walichinjwa na Elia? Hiyo siyo chuki? Samarians tu licha ya kuwa wayahudi walitengwa sababu ya imani, siyo chuki? Yaani ikifanywa na wayahudi unasema agano la kale ila wakifanya dini zingine aah ni CHUKI!!

Kwahiyo amri 10 tuachane nazo? Zaka tuache kutoa? Yaani torati zingine tunafuata ila zingine ndio mnasema ooh ni agano la kale? Na hapa ndio unafiki unapoonekana. Kama agano la kale limeshapita basi yote yawekwe pembeni sio linapokuja suala za zaka, tohara, malimbuko n.k mnasisitiza agano la kale ila likija hilo la kuua wasioamini mnalikana agano la kale.

Sasa kwa Quran hutaki maelezo ila kwa biblia unadai oooh ni sheria za Mussa? Kwani alizitoa kwa nani? si Mungu? Yaani Mungu akisema kwenye Quran ni CHUKI ila akisema kwenye Bible ni "sheria za mussa"? Unaona ulivyo mnafiki?
Nimekuwekea maandiko, ila kwakuwa muislamu wewe umefunzwa tuu kukariri Quran ya shetani wenu basi hupati maana ya kilichoandikwa. Rudi ukaendelee na zikiri yenu. Sina muda wa kupoteza na mkariri Qurani
 
wewe shoga unanikimbia
nakusubiri kesho nikusomozee jiti la muhogo,
hio akili yako iliyojaa mavi haiwezi kwenda sambamba na mimi, wewe kwoti wengine tu
 
Ila waislam mnapenda kujipa attention sasa nan anawachukia nyie, mbona wahindu, budha hawana pigo izo iweje nyie tu ndo mnajiona mnaonewa, nb angalieni matendo yawaumini wenu afu mfananishe nawengine
Boss umesoma kilichoandikwa hapo?
Wewe ni mgeni humu jamiiforums?
Huoni mada zinazoletwa kila siku kuhusu Uislam?
Ndio maana nina maliza kwa kusema nyie ni wajinga level ya mwisho kabisa linapokuja suala la dini. Kwahiyo hata alichoandika huyo umeshindwa kuona chuki alizonazo?
 
Rais Samia tutamuunga mkono na ikibidi amalizie awamu yake inayoisha 2035! Kazi anayoifanya kupambana na wagalatia wavuruga amani ni kubwa sana sana!
Ombi langu kwa serikali Kittima nae ashtakiwe kwa kuhamasisha mauji ya October 29 ! Huyu ndio mfadhili mkubwa wa maandamano yote na mauji kwa mgongo wa chuki za kidini!

Wagalatia ndio chanzo cha machafuko mengi hapa nchini na duniani kwa kufadhiliwa maghalibi.
 
Kwanza mimi sio muislam labda hunifahamu kabisa humu JF.

Acha kupotosha kwani Lebanon kaskazini ni sehemu ya nchi ya ahadi? Mbona manabii kutokea phoenicia huko walichinjwa na Elia? Hiyo siyo chuki? Samarians tu licha ya kuwa wayahudi walitengwa sababu ya imani, siyo chuki? Yaani ikifanywa na wayahudi unasema agano la kale ila wakifanya dini zingine aah ni CHUKI!!

Kwahiyo amri 10 tuachane nazo? Zaka tuache kutoa? Yaani torati zingine tunafuata ila zingine ndio mnasema ooh ni agano la kale? Na hapa ndio unafiki unapoonekana. Kama agano la kale limeshapita basi yote yawekwe pembeni sio linapokuja suala za zaka, tohara, malimbuko n.k mnasisitiza agano la kale ila likija hilo la kuua wasioamini mnalikana agano la kale.

Sasa kwa Quran hutaki maelezo ila kwa biblia unadai oooh ni sheria za Mussa? Kwani alizitoa kwa nani? si Mungu? Yaani Mungu akisema kwenye Quran ni CHUKI ila akisema kwenye Bible ni "sheria za mussa"? Unaona ulivyo mnafiki?
Kilaza huyo aliyejaa chuki hawezi kukujibu mkuu!
 
Rais Samia tutamuunga mkono na ikibidi amalizie awamu yake inayoisha 2035! Kazi anayoifanya kupambana na wagalatia wavuruga amani ni kubwa sana sana!
Ombi langu kwa serikali Kittima nae ashtakiwe kwa kuhamasisha mauji ya October 29 ! Huyu ndio mfadhili mkubwa wa maandamano yote na mauji kwa mgongo wa chuki za kidini!

Wagalatia ndio chanzo cha machafuko mengi hapa nchini na duniani kwa kufadhiliwa maghalibi.
Kaz nzuri ilifanywa kule kibiti mzee kuna wahuni nakobaz zao walikua wanataka kuleta taharuki nchi iwe kama somalia ama Nigeria nadhani unakumbuka
 
Racists gonna racist.
Xenophobes gonna xenophobe.
Misogynists gonna misogynist.
Ignoramuses gonna ignoramus.

Ni distraction ya uchaguzi na intimidation kwa wapinzani wake

Ilhan ameishi US muda mrefu zaidi kuliko first hooker , Melanie ambaye naye ana case ya aina hiyo, na alimzaa Baron, anchor baby kabla ya kuwa raia pia
Elon Musk naye ana case ya aina hiyo
Alifanya kazi kwa visa ya uanafunzi, kosa pia

Trump anafungua pandora box na Democrats watafanya hivyo wakichukua nchi

Ni aibu, ujinga na ushamba kushabikia manyanyaso ya mtu kwa jinsia, rangi na dini yake dunia ya leo ambapo watu wamechanhanyikana sana kwa kuishi, kuoa na kukaa jamii za watu wengine
Na wewe ni kipimo Cha mtu aliyestaarabika.
 
Rais Samia tutamuunga mkono na ikibidi amalizie awamu yake inayoisha 2035! Kazi anayoifanya kupambana na wagalatia wavuruga amani ni kubwa sana sana!
Ombi langu kwa serikali Kittima nae ashtakiwe kwa kuhamasisha mauji ya October 29 ! Huyu ndio mfadhili mkubwa wa maandamano yote na mauji kwa mgongo wa chuki za kidini!

Wagalatia ndio chanzo cha machafuko mengi hapa nchini na duniani kwa kufadhiliwa maghalibi.
unatumia bangi ya wapi we mkobazi?
 
Trump yuko sawa. Ona Ufaransa ilivyogeuka nchi ya ulimwengu wa tatu. Waliruhusu wahamiaji wengi kutoka Morroco, Afghanistan, Pakistani, Iraq na kwingineko. Jamaa wakafika wakazaliana kama kumbikumbi na sasa moto unawawakia. Allahu Akbhar kila kona na hawajui la kufanya.
 
Back
Top Bottom