zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kwani uislam au Hindu haujawahi kuchanganyika na dola? Aisee we jamaa. Yaani wakifanya wakatoliki unalaumu serikali zao ila wakifanya mataifa ya kiislam kosa sio serikali ni dini? Pure hypocrite.Ukizungumzia Ukatoliki wakati huo ulikuwa umechanganyika na Dola ya Roma. Pope alitoa baraka za kidini kwa majeshi ya Kiroma.
Usijibu kitu sijakuuliza. Nimeongelea specifically Theodosius I tena ilikua AD 300+ ndio alisimika ukatoliki kama dini ya dola nzima, hapo watu walipitishiwa upanga kama waligoma kukubali ukristo au utatu mtakatifu.Crusade ktk karne ya kumi ilikuwa kujibu mapigo ya magaidi wa shetan allah aliyekuwa amejimilikisha Jerusalem.
Pia specifically nimeongelea Spanish inquisition mbona haujibu? Mimi sipendi maneno ya jumla jumla twende case by case!! Hiyo Spanish inquisition unajua iliua watu wangapi kisa kukataa kuokoka?
Acha kupotosha ni lini Ottoman ilitawala Spain more so karne ya 15? Hao Spain walikua wametawaliwa na Umayyad empire, Al Andalus, na mwishoni Nasrid empire wala hazijawahi kuwa na connection na Ottoman empire. Unaweza weka hapa mwaka gani ottoman empire ilitawala Spain?Katika karne ya 15 akaibuka Gaidi mwingine wa shetan allah. Huyu ni Ottoman Empire. Akajitwalia nchi kadhaa za Ulaya pamoja na Andalusia na Constatinople. Pope kwa mamlaka yake ya Kidini aka mobilise Wafalme wa Ulaya kukomboa baadhi ya maeneo yaliyokuwa chini ya shetani allah. Spain mojawapo.
Exactly my point!! sasa sielewi kwanini unashambulia dini moja tu wakati kihistoria hakuna dini imesambaa bila upanga kuhusika. Tena hao wakatoliki wamechinja sana kuanzia marekani ya kusini, Asia, Ulaya na Afrika ndio usiseme!! Ni vizuri tusiongozwe na udini kwenye mijadalaSwali kwako muislamu Dini zote huko nyuma zimejihusisha na vita.