Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

Hapo vip!!

Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi.

Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo.
1.awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea
2.Awe single mother au single kawaida.

Kama unasifa zingine zitaje ili wajitambue.
3. Liwe jeupe
4. Liwe na gari
5. Awe na nyumba yake, asiwe amepanga
6. Liwe na makalio
Kama huna hizo sifa hapo, basi wewe sio mshangazi tena, ni mzururaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…