Umekosa sifa.... weusiMchangazi nikiwa nafatilia uzi ili nijinyakulie kijanaView attachment 3028437
Ok kijana nimefurahi kusikia hivyoππUmeshaninyakua mama la mama.
Kama hana pesa ni li nani vile?Bila pesa hana sifa ya lishangazi
... huyo atabaki kuwa "mama fulani"Bila pesa hana sifa ya lishangazi
...bila kumsahau katibu wake Open kitchenKwakweli mshangazi lazima aanzie miaka 45 kwenda juu wa 30 mnatuonea
Raisi wa mashangazi ni shilole
Nashida na iPhone macho matano mama la mama.Ok kijana nimefurahi kusikia hivyoππ
Nitumie namba yako kijana nitume pesa ya vocha kwanzaπNiko hapa mrembo lishangazi
Li singo maza fulani jitu zima hovyoKama hana pesa ni li nani vile?
Mweka hazina isha mashauzi ,muhamasishaji Tabu mtingita...bila kumsahau katibu wake Open kitchen
ππππNitumie namba yako kijana nitume pesa ya vocha kwanzaπ
Ivi mashangazi huwa mnayapataje nyie? ,mimi nikiyaanza tu huwa naonekana sina adabuπLi singo maza fulani jitu zima hovyo
Na chawa wao ni Resty ...Mweka hazina isha mashauzi ,muhamasishaji Tabu mtingita
ππππππ Isha na yule kijana kama mama na mwanae daaa vijana kazi wanayoNa chawa wao ni Resty ....
Sema nasikia anapeleka moto kinyamaππππππ Isha na yule kijana kama mama na mwanae daaa vijana kazi wanayo
Mmh si kweliUmekosa sifa.... weusi
Lishangazi liwe jeupe