GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Mbona hapa kwa haya Matusi yako Kwangu umesahau Kumuita JamiiForums Founder Maxence Melo? Kulikoni?Tatizo lako unataka nikugonge halafu nikulipe!.
Ukiona gari linapita tu unajiangusha ili ugongwe!,Tumekushitukia!.
Nikikuambia huna Akili unanichukia.