Ili kazi zako ziende, omba Yesu kila asubuhi usije sema una gundu

Ili kazi zako ziende, omba Yesu kila asubuhi usije sema una gundu

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
778
Reaction score
2,764
Nawa kumbusha kwa jina la Yesu Kristo kila asubuhi uamkapo omba hata dk 1, 2 au tatu ili bwana abariki kazi za mikono yako.

Hata kama hujaokoka omba maana hata mvua yesu huwanyeshea wema na waovu.

(lakini anza kwa kushukuru kwanza kwa kuamshwa salama maana ni vema kuingia katika malango ya bwana kwa shukurani kwanza).

Hata kama hujaokoka wewe omba tu bwana yesu yupo kwa ajili yako

^ NI MIMI MKUMBUSHAJI WAKO

Moses.jpeg
 
MUNGU YUPI ATAKUJIBU NYAKATI HIZI BIRA KUPITIA KWA MWANAE PEKEE ALIE MUWEKA AMBAE NI YESU KRISTO

FUATA UTARATIBU ULIO WEKWA
Naamini Mungu yupo lakini biblia imejichanganya sana na waumini wengi hawaielewi kiasi kwamba inawaonyesha nyie hamtumii akili hata ndogo ya kufikiri kwenye masuala yanayohusiana na Mungu.

Hii comment yako umeandika Pumba..!
 
SHIDA INAANZIA KWAKO HUJUI YESU KRISTO NI NANI NA BIBLIA IMEMZUNGUMZIAJE NA AMEPEWA MAMLAKA GANI.

UTAKUWA MNAFKI UKIACHA KUMTANGULIZA YESU KRISTO AMBAE YEYE ALIKUWA KAMA SISI WANADAM IKIWA NA MAANA ANAYAJUA MAUMIVU YETU YA KIMWILI NA SHIDA ZETU ZOTE YEYE LAZIMA AONGEZEKE KWANZA MAANA YEYE NDIO UPATANISHO WETU KWA MUNGU BABA YAKE.

BIBLIA INATAKA UTULIVU KUIELEWA
 
Asante kwa neno MTUMISHI japo umewalenga wakiristo tu Ila Mimi naongezea haya maneno mafupi

Ukiamka Ahsubui anza na kushukuru kwa kusema Asante na uwashukuru watu ambao wameunganika na wewe mfano Boss wako kazini ,wafanyakazi wenzako kazini , na Familia yako pamoja na nchi kwa ujumla.

Jioni ukitoka katika utafutaji jitahidi pia utoe shukurani kwa Ulimwengu universe Kama wewe atheist Ila na Kama wewe ni MTU wa dini Mshukuru Mungu.

Na hakikisha ndani ya siku unamuinua MTU mmoja kumbariki kimawazo , kipesa - hii inasaidia kutengeza Flow of energy.
 
Amina mtumishi ni kweli kabisa tumesisitizwa kuingia malangoni mwake kwa kushukuru
 
SHIDA INAANZIA KWAKO HUJUI YESU KRISTO NI NANI NA BIBLIA IMEMZUNGUZIAJE NA AMEPEWA MAMLAKA GANI.

UTAKUWA MNAFKI UKIACHA KUMTANGULIZA YESU KRISTO AMBAE YEYE ALIKUWA KAMA SISI WANADAM IKIWA NA MAANA ANAYAJUA MAUMIVU YETU YA KIMWILI NA SHIDA ZETU ZOTE YEYE LAZIMA AONGEZEKE KWANZA.

BIBLIA INATAKA UTULIVU KUIELEWA
Mimi mbona hua simtangulizi huyo Yesu ila mambo yangu ni safi? hao wachungaji wenyewe wanawakamua hela waumini masikini,au na wao walimuomba Yesu ndio maana wanawakamua masikini badala ya kuwasaidia? mtangulize Mungu na sio Binadamu mwenzako ambaye hata yeye mwenyewe anamtegemea Mungu.
 
Nawa Kumbusha kwa Jina la YESU KRISTO kila asubuhi uamkapo omba hata dk 1, 2 au TATU ili Bwana abariki kazi za mikono YAKO

View attachment 3056532(LAKINI ANZA KWA KUSHUKURU KWANZA KWA KUAMSHWA SALAMA MAANA NI VEMA KUINGIA KATIKA MALANGO YA BWANA KWA SHUKURANI KWANZA)

Hata kama hujaokoka wewe Omba Tu Bwana Yesu yupo kwa ajili yako

^ NI MIMI MKUMBUSHAJI WAKO
Niongezee jambo lingine Kwenye swala la kuomba hakuna binadamu anaeyeweza kuomba vile ipasavyo tunahitaji Roho Mtakatifu ili atusaidie

Warumi 8:26

Hali kadhalika Roho hutusaidia katika udhaifu wetu. Kwa sababu hatujui kuomba ipasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa uchungu usioelezeka kwa maneno.

Roho Mtakatifu ni Ile nguvu ambayo Mungu ameiweka ndani yetu na hata Yesu wakati anapaa kwenda mbinguni alisema atamuomba baba atupe msaidizi

Ni vyema ukamuomba Roho mtakatifu akuongoze katika maombi yako mambo gani uyaombee,kitu gani ufanye,mwambie Roho Mtakatifu unakubali Yale yote atayoruhusu yatokee kwako

Ni vyema ukapata muda wa saa 1 kwa siku kwaajili ya kufanya maombi na kusoma biblia
 
Back
Top Bottom