Ili kazi zako ziende, omba Yesu kila asubuhi usije sema una gundu

Ili kazi zako ziende, omba Yesu kila asubuhi usije sema una gundu

MUNGU YUPI ATAKUJIBU NYAKATI HIZI BIRA KUPITIA KWA MWANAE PEKEE ALIE MUWEKA AMBAE NI YESU KRISTO

FUATA UTARATIBU ULIO WEKWA
Utaratibu uliowekwa na nani, kwa jamii au watu gani? kwani kila jamii inamuamini huyo Yesu? ungekuwa specific huu ushauri wako ungeulekeza kwa wakristo wanaoamini Yesu alitumwa na Mungu wake.
 
Mimi mbona hua simtangulizi huyo Yesu ila mambo yangu ni safi? hao wachungaji wenyewe wanawakamua hela waumini masikini,au na wao walimuomba Yesu ndio maana wanawakamua masikini badala ya kuwasaidia? mtangulize Mungu na sio Binadamu mwenzako ambaye hata yeye mwenyewe anamtegemea Mungu.
Waislam Kuna kitu mnashindwa kukielewa Bwana Yesu yule alikuwa ni neno ila alifanyika kuwa mwili walishakuja manabii wengi na neno la Mungu bado watu hawakutaka kubadilika mabaya yao hata angekuja nabii mwingine bado injili ingekuwa vile vile
 
Waislam Kuna kitu mnashindwa kukielewa Bwana Yesu yule alikuwa ni neno ila alifanyika kuwa mwili walisha kuja manabii wengi na neno la Mungu bado watu hawakutaka kubadilika mabaya yao
Endelea kuota bila kua usingizini,

Alifanywa kua mwili na nani?

Kwahiyo baada ya Yesu kuja,watu wamebadilika mabaya yao?
 
Mimi mbona hua simtangulizi huyo Yesu ila mambo yangu ni safi? hao wachungaji wenyewe wanawakamua hela waumini masikini,au na wao walimuomba Yesu ndio maana wanawakamua masikini badala ya kuwasaidia? mtangulize Mungu na sio Binadamu mwenzako ambaye hata yeye mwenyewe anamtegemea Mungu.
Kweli kabisa, kumuomba na kumshukuru Mungu inatosha sana. Alafu Mungu mwenyewe hana nongwa na mtu.
 
Waislam Kuna kitu mnashindwa kukielewa Bwana Yesu yule alikuwa ni neno ila alifanyika kuwa mwili walishakuja manabii wengi na neno la Mungu bado watu hawakutaka kubadilika mabaya yao hata angekuja nabii mwingine bado injili ingekuwa vile vile
Kati ya watu bilioni 8 waliopo hapa duniani, wafuasi wa Yesu Kristo ni bilioni 2.4 tu, na miongoni mwao wanaofuata mafundisho yake kwa usahihi hawafiki hata asilimia 0.000001
 
images (49).jpeg

Unamzungumzia huyu jamaa picha yake watu wakiona mitandaoni wanacomment 'amen'.
 
Ndio huyu tumuombe?
 
Attachments

  • FB_IMG_16537609783606502.jpg
    FB_IMG_16537609783606502.jpg
    30.6 KB · Views: 3
Asante kwa neno MTUMISHI japo umewalenga wakiristo tu Ila Mimi naongezea haya maneno mafupi

Ukiamka Ahsubui anza na kushukuru kwa kusema Asante na uwashukuru watu ambao wameunganika na wewe mfano Boss wako kazini ,wafanyakazi wenzako kazini , na Familia yako pamoja na nchi kwa ujumla.

Jioni ukitoka katika utafutaji jitahidi pia utoe shukurani kwa Ulimwengu universe Kama wewe atheist Ila na Kama wewe ni MTU wa dini Mshukuru Mungu.

Na hakikisha ndani ya siku unamuinua MTU mmoja kumbariki kimawazo , kipesa - hii inasaidia kutengeza Flow of energy.
Sawa pamoja na kwamba wewe umekaa ki-spiritist zaidi kuliko ki-biblia.
 
Back
Top Bottom