Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
MUNGU YUPI ATAKUJIBU NYAKATI HIZI BIRA KUPITIA KWA MWANAE PEKEE ALIE MUWEKA AMBAE NI YESU KRISTOBaaada ya kumuomba MUNGU amuombe yesu mwana wa Adamu?
Naamini Mungu yupo lakini biblia imejichanganya sana na waumini wengi hawaielewi kiasi kwamba inawaonyesha nyie hamtumii akili hata ndogo ya kufikiri kwenye masuala yanayohusiana na Mungu.MUNGU YUPI ATAKUJIBU NYAKATI HIZI BIRA KUPITIA KWA MWANAE PEKEE ALIE MUWEKA AMBAE NI YESU KRISTO
FUATA UTARATIBU ULIO WEKWA
SHIDA INAANZIA KWAKO HUJUI YESU KRISTO NI NANI NA BIBLIA IMEMZUNGUMZIAJE NA AMEPEWA MAMLAKA GANI.Naamini Mungu yupo lakini biblia imejichanganya sana na waumini wengi hawaielewi kiasi kwamba inawaonyesha nyie hamtumii akili hata ndogo ya kufikiri kwenye masuala yanayohusiana na Mungu.
Hii comment yako umeandika Pumba..!
Asante kwa neno MTUMISHI japo umewalenga wakiristo tu Ila Mimi naongezea haya maneno mafupi
Ukiamka Ahsubui anza na kushukuru kwa kusema Asante na uwashukuru watu ambao wameunganika na wewe mfano Boss wako kazini ,wafanyakazi wenzako kazini , na Familia yako pamoja na nchi kwa ujumla.
Jioni ukitoka katika utafutaji jitahidi pia utoe shukurani kwa Ulimwengu universe Kama wewe atheist Ila na Kama wewe ni MTU wa dini Mshukuru Mungu.
Na hakikisha ndani ya siku unamuinua MTU mmoja kumbariki kimawazo , kipesa - hii inasaidia kutengeza Flow of energy.
Mimi mbona hua simtangulizi huyo Yesu ila mambo yangu ni safi? hao wachungaji wenyewe wanawakamua hela waumini masikini,au na wao walimuomba Yesu ndio maana wanawakamua masikini badala ya kuwasaidia? mtangulize Mungu na sio Binadamu mwenzako ambaye hata yeye mwenyewe anamtegemea Mungu.SHIDA INAANZIA KWAKO HUJUI YESU KRISTO NI NANI NA BIBLIA IMEMZUNGUZIAJE NA AMEPEWA MAMLAKA GANI.
UTAKUWA MNAFKI UKIACHA KUMTANGULIZA YESU KRISTO AMBAE YEYE ALIKUWA KAMA SISI WANADAM IKIWA NA MAANA ANAYAJUA MAUMIVU YETU YA KIMWILI NA SHIDA ZETU ZOTE YEYE LAZIMA AONGEZEKE KWANZA.
BIBLIA INATAKA UTULIVU KUIELEWA
Rubbish.MUNGU YUPI ATAKUJIBU NYAKATI HIZI BIRA KUPITIA KWA MWANAE PEKEE ALIE MUWEKA AMBAE NI YESU KRISTO
FUATA UTARATIBU ULIO WEKWA
BORA YEYE ALITESWA NA WAYAHUDI NA KAKETISHWA MKONO WA KIUME WA MUNGU.Unamuomba mtu ambaye yeye mwenyewe aliteswa na Wayahudi?
Fanya kazi wewe,hakuna miujiza kwenye maisha.BORA YEYE ALITESWA NA WAYAHUDI NA KAKETISHWA MKONO WA KIUME WA MUNGU.
KULIKO SISI TUNAO TESWA NA CCM
Niongezee jambo lingine Kwenye swala la kuomba hakuna binadamu anaeyeweza kuomba vile ipasavyo tunahitaji Roho Mtakatifu ili atusaidieNawa Kumbusha kwa Jina la YESU KRISTO kila asubuhi uamkapo omba hata dk 1, 2 au TATU ili Bwana abariki kazi za mikono YAKO
View attachment 3056532(LAKINI ANZA KWA KUSHUKURU KWANZA KWA KUAMSHWA SALAMA MAANA NI VEMA KUINGIA KATIKA MALANGO YA BWANA KWA SHUKURANI KWANZA)
Hata kama hujaokoka wewe Omba Tu Bwana Yesu yupo kwa ajili yako
^ NI MIMI MKUMBUSHAJI WAKO
HATA KUAMKA MZIMA TU NI MUUJIZA KUTOKA KWA YESU NDIO MAANA KAKUFANYA UNAANDIKA HAPA.Fanya kazi wewe,hakuna miujiza kwenye maisha.
Muyaombe yote kupitia Jina langu naye Baba atayafanya.Baaada ya kumuomba MUNGU amuombe yesu mwana wa Adamu?