Ili kazi zako ziende, omba Yesu kila asubuhi usije sema una gundu

MUNGU YUPI ATAKUJIBU NYAKATI HIZI BIRA KUPITIA KWA MWANAE PEKEE ALIE MUWEKA AMBAE NI YESU KRISTO

FUATA UTARATIBU ULIO WEKWA
Utaratibu uliowekwa na nani, kwa jamii au watu gani? kwani kila jamii inamuamini huyo Yesu? ungekuwa specific huu ushauri wako ungeulekeza kwa wakristo wanaoamini Yesu alitumwa na Mungu wake.
 
Waislam Kuna kitu mnashindwa kukielewa Bwana Yesu yule alikuwa ni neno ila alifanyika kuwa mwili walishakuja manabii wengi na neno la Mungu bado watu hawakutaka kubadilika mabaya yao hata angekuja nabii mwingine bado injili ingekuwa vile vile
 
Waislam Kuna kitu mnashindwa kukielewa Bwana Yesu yule alikuwa ni neno ila alifanyika kuwa mwili walisha kuja manabii wengi na neno la Mungu bado watu hawakutaka kubadilika mabaya yao
Endelea kuota bila kua usingizini,

Alifanywa kua mwili na nani?

Kwahiyo baada ya Yesu kuja,watu wamebadilika mabaya yao?
 
Kweli kabisa, kumuomba na kumshukuru Mungu inatosha sana. Alafu Mungu mwenyewe hana nongwa na mtu.
 
Waislam Kuna kitu mnashindwa kukielewa Bwana Yesu yule alikuwa ni neno ila alifanyika kuwa mwili walishakuja manabii wengi na neno la Mungu bado watu hawakutaka kubadilika mabaya yao hata angekuja nabii mwingine bado injili ingekuwa vile vile
Kati ya watu bilioni 8 waliopo hapa duniani, wafuasi wa Yesu Kristo ni bilioni 2.4 tu, na miongoni mwao wanaofuata mafundisho yake kwa usahihi hawafiki hata asilimia 0.000001
 
Ndio huyu tumuombe?
 
Attachments

  • FB_IMG_16537609783606502.jpg
    30.6 KB · Views: 3
Sawa pamoja na kwamba wewe umekaa ki-spiritist zaidi kuliko ki-biblia.
 
Waislam Kuna kitu mnashindwa kukielewa Bwana Yesu yule alikuwa ni neno ila alifanyika kuwa mwili walishakuja manabii wengi na neno la Mungu bado watu hawakutaka kubadilika mabaya yao hata angekuja nabii mwingine bado injili ingekuwa vile vile
baada ya kuja yesu watu tumebadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…