Kumbe, basi watakuwa kama konokono ( hemarphrodite)Salimi kikeke wa matindingani, kale kaeneo ni uswahilini yawezekana yule mwamba alozaliwa pale lakini pale Wanawake wote hawana waume wanajizalisha wenyewe

Namshangaa mleta mada sijui alikuwa sayari gani!Kulikuwa na uchaguzi?
Anafanya maksudi watu watukane.Namshangaa mleta mada sijui alikuwa sayari gani!
Mbunge kwa sasa ndani ya nchi hii hachaguliwi na wananchi bali anawekwa na serikali mambo yamebadilika sanaKwetu ni Kagera Ba mnyongote, kwetu ni Bukoba nataka niwambie hakuna msukuma,mchaga,au kabila lolote linaweza gombea hata UJUMBE wa nyumba kumi akaupata katika mkoa niliozaliwa Mimi
Huu upumbavu umekubaliwa na wamasai, na Wachaga wa Arusha na Waruguru wa morogoro kuongozwa na mijitu ya kuja alafu mishamba
Kwa hiyo mmemchagua Makonda ili awape maendeleo??Hata usukumani kwao kashindwa kutoboa, kuna wanaume wa shoka kule, kakimbilia Kigamboni watu wakamkimbiza tena wanaccm wenzake, wakaangalia wanyongewanyonge kaibukia Arusha.Ndio maana hata maendeleo hakuna huko kwenu mmebaki na sifa za kijinga tu
Kwetu ni Kagera Ba mnyongote, kwetu ni Bukoba nataka niwambie hakuna msukuma,mchaga,au kabila lolote linaweza gombea hata UJUMBE wa nyumba kumi akaupata katika mkoa niliozaliwa Mimi
Huu upumbavu umekubaliwa na wamasai, na Wachaga wa Arusha na Waruguru wa morogoro kuongozwa na mijitu ya kuja alafu mishamba
Waccm wakupewaKwetu ni Kagera Ba mnyongote, kwetu ni Bukoba nataka niwambie hakuna msukuma,mchaga,au kabila lolote linaweza gombea hata UJUMBE wa nyumba kumi akaupata katika mkoa niliozaliwa Mimi
Huu upumbavu umekubaliwa na wamasai, na Wachaga wa Arusha na Waruguru wa morogoro kuongozwa na mijitu ya kuja alafu mishamba
Kagera ndo mkoa maskini zaidi Tanzania.Kwetu ni Kagera Ba mnyongote, kwetu ni Bukoba nataka niwambie hakuna msukuma,mchaga,au kabila lolote linaweza gombea hata UJUMBE wa nyumba kumi akaupata katika mkoa niliozaliwa Mimi
Huu upumbavu umekubaliwa na wamasai, na Wachaga wa Arusha na Waruguru wa morogoro kuongozwa na mijitu ya kuja alafu mishamba