PreGE2025 Ili kudhibiti uhalifu, uanzishwe mfumo wa National Recognition System wenye kutunza DNA na fingerprint za watu wote

PreGE2025 Ili kudhibiti uhalifu, uanzishwe mfumo wa National Recognition System wenye kutunza DNA na fingerprint za watu wote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tz bado sana,tunapenda kuwakombatia wahalifu
Unakuta mtu ana likesi ehh kesho huyo huyo anachaguliwa tena kuwa mtu fulani
In short tumetengeneza taifa la majambazi wezi...system yote iko corrupt
Ila tunachokipanda soon tutakivuna tu

Ova
System lazima iwe corrupt sababu waliopo hawana integrity ,hawana uhalali wa kukaa hapo. Wapo hapo kindugu, kichama, au kwa rushwa.
Lazima system iwe corrupt, wenzetu haya maeneo wako very serious, they dont joke
 
Kwako Rais wa JMT,
Waziri wa mambo ya ndani,

Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo mahususi chini ya wizara ya mambo ya ndani kitakachokuwa kinatumia mfumo wa NATIONAL RECOGNITION SYSTEM (NRS) ambao utakuwa mfumo maalumu wa utambuzi wa DNA na fingerprint kwa watu wote waliopo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wawe wazawa au wageni.

Kwa maoni yangu, mfumo huu utarahisha KAZI ya utambuzi wa mhalifu na kama utaundwa mfumo wa utambuzi wa haraka zaidi kwa kutumia, DNA, FINGERPRINT, SAUTI, USO NA MUONEKANO utarahisha zaidi.

Naomba kuwasilisha

Ahsante.
Watakao uanzisha ndio watakuwa wa kwanza kupaikana na hatia,sasa unadhani wako tayari kuuanzisha?
 
Back
Top Bottom