Ili kuepusha majanga kwenye ndoa turudi kwenye mila zetu

...Mimi nafikiri turejee ktk msingi wa Dini kama Mungu alivyoagiza

1. Tusizini kabla ya ndoa
2. Tusifanye uzinzi ndani ya ndoa

..ndoa zetu nyingi zinaingia migogoro lakini ukichunguza chanzo kikuu ni UZINIFU
Huu ndio ukweli tutaruka ruka bure wakati kitu rahisi ni kwamba watu wasigegeduane kabla ya ndoa basi
 
Hivi mizimu huwa ni akina nani?
Au mizimu ni nini?
Mizumu ni watu waliowahi kuishi na kufariki ndani ya chimbuko fulami fulani (wa zamani saana mababu), kila ukoo huwa na mizimu yake.

Kiufupi kwenye hizi dini zetu mara nyingi tunasoma na kujifunza juu ya mzimu ya wazungu (mababu wazungu waliowahi kuishi na kufa huko ulaya) ambayo haijawahi kutuhusu, watu wamekaririshwa vibaya juu kitambika mizimu yao hivyo wametelekezwa waishi waowao kama wao ma ndiomaana hawaishiwi kuhangaika.

Mazee yameamuw kubaki na siri zao moyoni na kuwaacha vijana wakihangaika, ndiomana hata sasa wanaofanikiwa ni wale wanaoamua kushikamana na mizimu yao either waziwazi au kwa siri(wakiogopa jamii itawachukuliaje).

NB:Walioishi kabla ya dini hizi kuja na kisambaa, waliomba mizimu kwa matambiko na wakajibiwa tena kuliko hata jinsi ambavyo sikuhizi watu hujibiwa wakiomba, iliwezekanaje??
 
Tamaduni zingine za kishenzi tu. Kuna kabila moja eti kabla hamjafunga ndoa mnafanyiwa tabiko,mnatakiwa kukaa ndani pamoja kule kiumeni siku saba!! Halafu ndo siku mnatoka mnakutana na wazee hapo nje wanamalizia matambiko yao!!

Siku saba si Fungate hilo!!!!
 
Mizumu ni watu waliowahi kuishi na kufariki ndani ya chimbuko fulami fulani (wa zamani saana mababu), kila ukoo huwa na mizimu yake.

Kiufupi kwenye hizi dini zetu mara nyingi tunasoma na kujifunza juu ya mzimu ya wazungu (mababu wazungu waliowahi kuishi na kufa huko ulaya) ambayo haijawahi kutuhusu, watu wamekaririshwa vibaya juu kitambika mizimu yao hivyo wametelekezwa waishi waowao kama wao ma ndiomaana hawaishiwi kuhangaika.

Mazee yameamuw kubaki na siri zao moyoni na kuwaacha vijana wakihangaika, ndiomana hata sasa wanaofanikiwa ni wale wanaoamua kushikamana na mizimu yao either waziwazi au kwa siri(wakiogopa jamii itawachukuliaje).

NB:Walioishi kabla ya dini hizi kuja na kisambaa, waliomba mizimu kwa matambiko na wakajibiwa tena kuliko hata jinsi ambavyo sikuhizi watu hujibiwa wakiomba, iliwezekanaje??
Hivyo na mimi nikifa nitakuja kuwa mzimu kwa vizazi vijavyo?

Kama ni ndio, hivyo nini kitakiwa kimebadilika katika uwezo wangu baada ya kufa mpaka niweze kusaidia wengine( labda kwa mambo ambayo hata mimi mwenyewe nilipokuwa hai nilikuwa nikiiomba mizimu inisaidie)?

Na je huo uwezo nitakuwa nimeutoa wapi?

Na kama ni hapana, swali ni je mtu anatakiwa awe na sifa gani akiwa hai ili baada ya kufa awe ni mzimu?
 
Back
Top Bottom