Dawlia
Senior Member
- May 20, 2022
- 166
- 344
Jamii yenyewe imeoza nani amuachie mtu mtoto.. wapi huko jirani kabaka mtoto wa miaka tisa kisa mama alitokaMtoto arudi kuwa wa jamii nzima sio mzazi wake pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii yenyewe imeoza nani amuachie mtu mtoto.. wapi huko jirani kabaka mtoto wa miaka tisa kisa mama alitokaMtoto arudi kuwa wa jamii nzima sio mzazi wake pekee.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Na kama una bahati unaweza kukuta tayari ana mimba kwahiyo mtoto anahesabiwa ni wa kwako.
Hapo magadi yatahusika [emoji39][emoji39]. Tambiko huwa ni la siku tatu ambapo wakati wote wa tambiko chakula kikuu ni supu ya mkia wa kondoo ambayo haijawekwa chumvi. .
Je kama hana trako au sura mbaya, inakuaje!!? [emoji848][emoji848]. Na ikitokea wazee wamekuchagulia mchumba basi hutamwona huyo binti hadi siku ya ndoa tena jioni maana muda wote kafunikwa usoni.
SawaMizimu ni wakina Yoshua, Bikra Maria, Petro, Nabii Huseini wa KIAFRICA.
#YNWA
aisee !!! Hilo nalo ni tatizo jingineJamii yenyewe imeoza nani amuachie mtu mtoto.. wapi huko jirani kabaka mtoto wa miaka tisa kisa mama alitoka
Wewe ndo umeongea...Mimi nafikiri turejee ktk msingi wa Dini kama Mungu alivyoagiza
1. Tusizini kabla ya ndoa
2. Tusifanye uzinzi ndani ya ndoa
..ndoa zetu nyingi zinaingia migogoro lakini ukichunguza chanzo kikuu ni UZINIFU
Wafilipino kina angeloSio zote sasa zipo zenye kuhamasisha mahaba tu bila kugonokeana
Maandiko yanasema, hakuna ushirika Kati ya aliye hai na aliyekufa, huko kuabudu mizimu ni ushirikina ambao imani zote waislam kwa wakristo imekatazaMizumu ni watu waliowahi kuishi na kufariki ndani ya chimbuko fulami fulani (wa zamani saana mababu), kila ukoo huwa na mizimu yake.
Kiufupi kwenye hizi dini zetu mara nyingi tunasoma na kujifunza juu ya mzimu ya wazungu (mababu wazungu waliowahi kuishi na kufa huko ulaya) ambayo haijawahi kutuhusu, watu wamekaririshwa vibaya juu kitambika mizimu yao hivyo wametelekezwa waishi waowao kama wao ma ndiomaana hawaishiwi kuhangaika.
Mazee yameamuw kubaki na siri zao moyoni na kuwaacha vijana wakihangaika, ndiomana hata sasa wanaofanikiwa ni wale wanaoamua kushikamana na mizimu yao either waziwazi au kwa siri(wakiogopa jamii itawachukuliaje).
NB:Walioishi kabla ya dini hizi kuja na kisambaa, waliomba mizimu kwa matambiko na wakajibiwa tena kuliko hata jinsi ambavyo sikuhizi watu hujibiwa wakiomba, iliwezekanaje??
Mizimu ni zile nafsi za watu walokufa wakiwa wadhambi kwahiyo shetani anawatumia ili kuwaangamiza na waliobakia, itaskia mtu anasema"mimi nina mzimu wa babu unanilinda" sasa hapo tayari mission ya lusifa inakuwa imefanikiwa. Tumrudie Mungu tuHivyo na mimi nikifa nitakuja kuwa mzimu kwa vizazi vijavyo?
Kama ni ndio, hivyo nini kitakiwa kimebadilika katika uwezo wangu baada ya kufa mpaka niweze kusaidia wengine( labda kwa mambo ambayo hata mimi mwenyewe nilipokuwa hai nilikuwa nikiiomba mizimu inisaidie)?
Na je huo uwezo nitakuwa nimeutoa wapi?
Na kama ni hapana, swali ni je mtu anatakiwa awe na sifa gani akiwa hai ili baada ya kufa awe ni mzimu?
Hapana, waisrael walikuw wanamuomba Mungu wa baba zao hao na sio wao, na hata maandiko yanasema Mungu alipomtokea Musa akamwambia mimi ni Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo baba zako..Hawa si ndio wanaotajwa pia katika ukristo? kwani hawa nao wanaabudiwa na kutakwa msaada kama mizimu?
We not my babies[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji28][emoji28][emoji28]Hapo magadi yatahusika [emoji39][emoji39]
Je kama hana trako au sura mbaya, inakuaje!!? [emoji848][emoji848]
Hayo maandiko kuna muafrika gani alishiriki kuyaandika??Maandiko yanasema, hakuna ushirika Kati ya aliye hai na aliyekufa, huko kuabudu mizimu ni ushirikina ambao imani zote waislam kwa wakristo imekataza
Kutoka 20:3-5 (KJV) Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Nipeleke mkuu maana inauma sana kugongewa.Wapo
Sayansi na teknolojia ndio imeharibu kila kitu....Mimi nafikiri turejee ktk msingi wa Dini kama Mungu alivyoagiza
1. Tusizini kabla ya ndoa
2. Tusifanye uzinzi ndani ya ndoa
..ndoa zetu nyingi zinaingia migogoro lakini ukichunguza chanzo kikuu ni UZINIFU
Nyuchi siku hizi ni kama nyanya sokoni. Mademu wenyewe bila kugegedwa haoni kama yuko kisasa.Huu ndio ukweli tutaruka ruka bure wakati kitu rahisi ni kwamba watu wasigegeduane kabla ya ndoa basi
Wee bwnaa kutombaner ndio starehee namba moja hapa duniani. Wai wenyewe warembo wanapenda kugeggeduanaNyuchi siku hizi ni kama nyanya sokoni. Mademu wenyewe bila kugegedwa haoni kama yuko kisasa.
Hili lipo wazi.Hapana, waisrael walikuw wanamuomba Mungu wa baba zao hao na sio wao, na hata maandiko yanasema Mungu alipomtokea Musa akamwambia mimi ni Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo baba zako..
Kwa maana hao mizimu wanakuwa kweli wanatoa huo msaada, au inakuwa ni kama wale wanaoabudu ng'ombe?Mizimu ni zile nafsi za watu walokufa wakiwa wadhambi kwahiyo shetani anawatumia ili kuwaangamiza na waliobakia, itaskia mtu anasema"mimi nina mzimu wa babu unanilinda" sasa hapo tayari mission ya lusifa inakuwa imefanikiwa. Tumrudie Mungu tu
Ni ngumu kubishana na unbelieversHili lipo wazi.
Ila huyu alitaka tu kunichanganyia mambo.