Ili kuepusha majanga kwenye ndoa turudi kwenye mila zetu

. Tambiko huwa ni la siku tatu ambapo wakati wote wa tambiko chakula kikuu ni supu ya mkia wa kondoo ambayo haijawekwa chumvi. .
Hapo magadi yatahusika [emoji39][emoji39]

. Na ikitokea wazee wamekuchagulia mchumba basi hutamwona huyo binti hadi siku ya ndoa tena jioni maana muda wote kafunikwa usoni.
Je kama hana trako au sura mbaya, inakuaje!!? [emoji848][emoji848]
 
Maandiko yanasema, hakuna ushirika Kati ya aliye hai na aliyekufa, huko kuabudu mizimu ni ushirikina ambao imani zote waislam kwa wakristo imekataza
Kutoka 20:3-5 (KJV) Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
 
Mizimu ni zile nafsi za watu walokufa wakiwa wadhambi kwahiyo shetani anawatumia ili kuwaangamiza na waliobakia, itaskia mtu anasema"mimi nina mzimu wa babu unanilinda" sasa hapo tayari mission ya lusifa inakuwa imefanikiwa. Tumrudie Mungu tu
 
Hawa si ndio wanaotajwa pia katika ukristo? kwani hawa nao wanaabudiwa na kutakwa msaada kama mizimu?
Hapana, waisrael walikuw wanamuomba Mungu wa baba zao hao na sio wao, na hata maandiko yanasema Mungu alipomtokea Musa akamwambia mimi ni Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo baba zako..
 
Hayo maandiko kuna muafrika gani alishiriki kuyaandika??
 
...Mimi nafikiri turejee ktk msingi wa Dini kama Mungu alivyoagiza

1. Tusizini kabla ya ndoa
2. Tusifanye uzinzi ndani ya ndoa

..ndoa zetu nyingi zinaingia migogoro lakini ukichunguza chanzo kikuu ni UZINIFU
Sayansi na teknolojia ndio imeharibu kila kitu.
 
Huu ndio ukweli tutaruka ruka bure wakati kitu rahisi ni kwamba watu wasigegeduane kabla ya ndoa basi
Nyuchi siku hizi ni kama nyanya sokoni. Mademu wenyewe bila kugegedwa haoni kama yuko kisasa.
 
Nyuchi siku hizi ni kama nyanya sokoni. Mademu wenyewe bila kugegedwa haoni kama yuko kisasa.
Wee bwnaa kutombaner ndio starehee namba moja hapa duniani. Wai wenyewe warembo wanapenda kugeggeduana
 
Hapana, waisrael walikuw wanamuomba Mungu wa baba zao hao na sio wao, na hata maandiko yanasema Mungu alipomtokea Musa akamwambia mimi ni Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo baba zako..
Hili lipo wazi.

Ila huyu alitaka tu kunichanganyia mambo.
 
Mizimu ni zile nafsi za watu walokufa wakiwa wadhambi kwahiyo shetani anawatumia ili kuwaangamiza na waliobakia, itaskia mtu anasema"mimi nina mzimu wa babu unanilinda" sasa hapo tayari mission ya lusifa inakuwa imefanikiwa. Tumrudie Mungu tu
Kwa maana hao mizimu wanakuwa kweli wanatoa huo msaada, au inakuwa ni kama wale wanaoabudu ng'ombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…