Ili kuepusha majanga kwenye ndoa turudi kwenye mila zetu

Wee bwnaa kutombaner ndio starehee namba moja hapa duniani. Wai wenyewe warembo wanapenda kugeggeduana
Hahahaaa. Ndio maana hata Adam alipewa Eva sema tu alimuingiza mkenge Adam tungekuwa tunapiga mbususu hazarani bila hata vikwazo.
 
...Mimi nafikiri turejee ktk msingi wa Dini kama Mungu alivyoagiza

1. Tusizini kabla ya ndoa
2. Tusifanye uzinzi ndani ya ndoa

..ndoa zetu nyingi zinaingia migogoro lakini ukichunguza chanzo kikuu ni UZINIFU
Hayo si ndo mambo ya mila
 
Ulivyomalizia sijapenda πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…