Anapata wapi muda wa kucheza Film wakati kuna DHIKI ya kutisha Nchini mfumuko wa bei na Umeme Maji hakuna.Mama sasa hivi anawaza filamu yake mpya ya Utalii na jinsi atakavyokwenda kuizindua kule Uchina![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Nadhani ni uzee tu , mbona zamani alikuwa fresh tu ?Paschal ni Mwandishi wa hovyo asiyekuwa na sense of purpose
Hakuna mwanaccm mwenye hurumaAnapata wapi muda wa kucheza Film wakati kuna DHIKI ya kutisha Nchini mfumuko wa bei na Umeme Maji hakuna.
🤔
Huyu ni mchochezi,anafanya kusudi kuanzisha jambo kisha anakaa pembeni akiwaangalia mnavyogombea mfupa usiotafunika huku akiwacheka.Nadhani ni uzee tu , mbona zamani alikuwa fresh tu ?
Mkuu Paskali uzi wako ni mzuri mno na unachokoza kipimo kizuri sana cha kufanyia tathmini utendaji kazi wa Rais wetu ili kuweza kupima matokeo yake. Kitu cha kwanza ni ilani iliyonadiwa kwa wananchi mwaka 2020 ambayo kupitia kukubalika kwake ndipo CCM ilishika dola, pasipo kujali ni kwa namna gani ilifanikiwa kuitwaa dola.Wanabodi,
Angalizo la Kuchanganya Lugha
Naomba kuanza na angalizo la kuchanganya lugha, JF ilipoanzishwa, it was meant to an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf.
Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na kuzidi kuboreka, hivyo sasa iko kwenye transformation from just a social media to mainstream media, ukipost heading kwa kuchanganya lugha, heading yako inabadiloshwa kuwekwa lugha ya Kiswahili, sometimes it changes the meaning.
Bandiko hili Ili kuisaidia nchi, na kumsaidia Rais Samia, Je tumfanyie an honest MTR, based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo ili to determine tunapokwenda?.
Heading hii imechanga lugha kwasababu maneno mengine ya Kiingereza hayana Kiswahili.
MTR ni Mid Term Review, na SMART Objectives ni malengo ya kimkakati ambayo ni Specific, Measurable, Achievable, Realistic, and Timely na hizo Objectives ziko za short term, medium term na long term.
Hivyo ili kuisaidia nchi, na kumsaidia Rais Samia, ni muhimu kumfanyia MTR ya performance appraisal yake ya toka alipoanza, hapa alipofika, hivyo ku determined kule anakokwenda au anako tupeleka.
Hii MTR, hufanywa na watu wanaofanya kazi na wenzetu wazungu ambapo wanapima utendaji kazi wako.
Kwa kawaida hii MTR hufanywa na boss wako anaye ku supervises. Kwa mujibu wa katiba ya JMT, Rais wa JMT ndie the top boss na anafikia maamuzi ya mwisho yeye kama yeye, anaweza kushauriwa na washauri wake na wasaidizi wake, lakini kwenye kufikia maamuzi, anafikia maamuzi yeye kama yeye na hawajibiki kufuata ushauri wa yeyote.
Sehemu pekee ambapo Rais wa JMT atawajibika ni kwenye katiba ya JMT, hiyo katiba ambayo Rais wa JMT anawajibika, ni mali ya wananchi Watanzania, hivyo the real boss ni Mwananchi, ndiye mwenye katiba, ndiye aliye muajiri Rais wa JMT kwa kura yake, ndiye anayemlipa mshahara kwa kodi yake, hivyo Mwananchi wa Tanzania ndiye boss wa Rais Samia, na Rais Samia ni mtumishi tuu wa watu, aliyepewa dhamana kututumikia kwa kutuongoza, hivyo ni haki kabisa kwa Mwananchi wa kawaida kabisa kama mimi kumfanyia Rais Samia MTR.
The SMART Objectives ni ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, time frame yake ni miaka 5, hivyo MTR ya ilani ya uchaguzi ya CCM ilipaswa iwe July 2023, lakini kwa vile Samia ameipokea nchi na urais March 2021, then MTR yake ndio sasa.
MTR ni ya kazi gani?, unamfanyia Rais wa JMT MTR ili iweje?.
MTR ni muhimu sana ili kupima ulipotoka, ulipo hivyo ku determine kule unakokwenda the target ikiwa ni 2025.
Ili kumtendea haki Rais Samia, kwenye hii MTR yangu, kwenye Strategic Objectives sitaitumia ilani ya uchaguzi ya CCM, kwasababu hii ni ilani ya mtangulizi wake, hivyo kuitumia sio kumtendea haki, badala yake mimi nitatumia mabandiko yangu yenye expectations zangu za kisiasa tuu, kumhusu Rais Samia, toka alipoingia mpaka hapa alipofika ili kum determine na kukuwekea projection ya 2025 kama tutafanya uchaguzi huru na wa haki kweli au tutaendelea kufanya uchaguzi 'huru' na wa 'haki' kama kawa!.
Strategic Objectives zangu ni hizi ambazo nita pick randomly na kufanya MTR.
Ili kuziona hizo MTR, ni lazima ufungue bandiko husika, halafu nikimaliza MTR zote ndipo nitakuja na conclusion ya projection za Uchanguzi Mkuu wa 2025.
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
Hii ni hatua ya kwanza ya ushirikishwaji, jee tumsaidie Rais Samia, tumfanyie an honest MTR, based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo ili to determine tunapokwenda?, au tusimtathimini rais wetu, tuendelee tuu kwenda hivi hivi, halafu tathimini ifanyike kwenye kampeni za 2025?.
Paskali
Mkuu mbenge , asante sana, tangu bandiko hili limepanda, wewe ndie mchangiaji wa kwanza kuchangia kuhusu MTR.Mkuu Paskali uzi wako ni mzuri mno na unachokoza kipimo kizuri sana cha kufanyia tathmini utendaji kazi wa Rais wetu ili kuweza kupima matokeo yake. Kitu cha kwanza ni ilani iliyonadiwa kwa wananchi mwaka 2020 ambayo kupitia kukubalika kwake ndipo CCM ilishika dola, pasipo kujali ni kwa namna gani ilifanikiwa kuitwaa dola.
Ilani hii haikuwa ni mali binafsi ya JPM, bali ni ya CCM kwa kipindi cha 2021-2025 na utekelezaji wake ni kwa yeyote yule ndani ya chama tawala kama angepata ridhaa ya kikatiba kupata dhamana ya urais, kwa hiyo basi utekelezaji wa ilani hii inamuhusu SSH moja kwa moja. Pengine baada ya kifo cha JPM katiba yetu ingetoa mwanya wa kurudiwa kwa uchaguzi mwingine na ilani mpya ziandaliwe na vyama vya ushindani.
Tukirejea katika hii ilani ndimo ndani yake kuna "strategic objective, plans & goals" ambazo zinaainisha utekelezaji wake. "SMART objectives" hutolewa humo ili kupima utekelezaji wake. "MTR is just a periodic review required to be made half way emanated from total expected outcomes".
Kwa mizania hiyo basi, tunapaswa kuangalia ndani ya ilani ya CCM ahadi ya miaka mitano ni nini hasa kimekwisha fanyika, na mpaka kufikia nusu ya muda huo ni kwa kiasi gani utekelezaji wake umekamilika.
Baadhi ya tathmini zangu,
a) Ujenzi wa SGR kipande cha Dar - Moro kukamilika na kuanza kufanya kazi ifikapo Julai 2021
Alama 0%
b) Ujenzi wa bwawa la Mwl. Nyerere kukamilika na kuanza kazi ifikapo Novemba 2022 ns tatitizo la kukatikakatika kwa umeme kuwa ni historia
Alama 0%
c) Kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye kutegemea uchumi wa viwanda ifikapo mwaka Disemba 2024
Alama [emoji10]%
d) Kuifungua Tanzania kiuchumi
(haikuwepo kwenye ilani, imekuja kwa gia iliyobadilishiwa angani)
Alama -100%
Hivi ndivyo "performance evaluation" MTR yake inavyopasa kufanya kazi kupitia "SMART Objectives"
Samia ni chaguo la Mungu na ni wazi yote anayoyafanya yana mkono wa Mungu sasa sisi ni nani na tunawezaje kupata ushujaa wa kumkosoa Mungu, ukiona hajalifanya basi ni Mungu hajampangia alifanye.Mkuu mbenge , asante sana, tangu bandiko hili limepanda, wewe ndie mchangiaji wa kwanza kuchangia kuhusu MTR.
P
Utaitwa chawa,Huwa hawataki evaluation especially pale zinapo mfavour Rais SamiaWanabodi,
Angalizo la Kuchanganya Lugha
Naomba kuanza na angalizo la kuchanganya lugha, JF ilipoanzishwa, it was meant to an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf.
Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na kuzidi kuboreka, hivyo sasa iko kwenye transformation from just a social media to mainstream media, ukipost heading kwa kuchanganya lugha, heading yako inabadiloshwa kuwekwa lugha ya Kiswahili, sometimes it changes the meaning.
Bandiko hili Ili kuisaidia nchi, na kumsaidia Rais Samia, Je tumfanyie an honest MTR, based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo ili to determine tunapokwenda?.
Heading hii imechanga lugha kwasababu maneno mengine ya Kiingereza hayana Kiswahili.
MTR ni Mid Term Review, na SMART Objectives ni malengo ya kimkakati ambayo ni Specific, Measurable, Achievable, Realistic, and Timely na hizo Objectives ziko za short term, medium term na long term.
Hivyo ili kuisaidia nchi, na kumsaidia Rais Samia, ni muhimu kumfanyia MTR ya performance appraisal yake ya toka alipoanza, hapa alipofika, hivyo ku determined kule anakokwenda au anako tupeleka.
Hii MTR, hufanywa na watu wanaofanya kazi na wenzetu wazungu ambapo wanapima utendaji kazi wako.
Kwa kawaida hii MTR hufanywa na boss wako anaye ku supervises. Kwa mujibu wa katiba ya JMT, Rais wa JMT ndie the top boss na anafikia maamuzi ya mwisho yeye kama yeye, anaweza kushauriwa na washauri wake na wasaidizi wake, lakini kwenye kufikia maamuzi, anafikia maamuzi yeye kama yeye na hawajibiki kufuata ushauri wa yeyote.
Sehemu pekee ambapo Rais wa JMT atawajibika ni kwenye katiba ya JMT, hiyo katiba ambayo Rais wa JMT anawajibika, ni mali ya wananchi Watanzania, hivyo the real boss ni Mwananchi, ndiye mwenye katiba, ndiye aliye muajiri Rais wa JMT kwa kura yake, ndiye anayemlipa mshahara kwa kodi yake, hivyo Mwananchi wa Tanzania ndiye boss wa Rais Samia, na Rais Samia ni mtumishi tuu wa watu, aliyepewa dhamana kututumikia kwa kutuongoza, hivyo ni haki kabisa kwa Mwananchi wa kawaida kabisa kama mimi kumfanyia Rais Samia MTR.
The SMART Objectives ni ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, time frame yake ni miaka 5, hivyo MTR ya ilani ya uchaguzi ya CCM ilipaswa iwe July 2023, lakini kwa vile Samia ameipokea nchi na urais March 2021, then MTR yake ndio sasa.
MTR ni ya kazi gani?, unamfanyia Rais wa JMT MTR ili iweje?.
MTR ni muhimu sana ili kupima ulipotoka, ulipo hivyo ku determine kule unakokwenda the target ikiwa ni 2025.
Ili kumtendea haki Rais Samia, kwenye hii MTR yangu, kwenye Strategic Objectives sitaitumia ilani ya uchaguzi ya CCM, kwasababu hii ni ilani ya mtangulizi wake, hivyo kuitumia sio kumtendea haki, badala yake mimi nitatumia mabandiko yangu yenye expectations zangu za kisiasa tuu, kumhusu Rais Samia, toka alipoingia mpaka hapa alipofika ili kum determine na kukuwekea projection ya 2025 kama tutafanya uchaguzi huru na wa haki kweli au tutaendelea kufanya uchaguzi 'huru' na wa 'haki' kama kawa!.
Strategic Objectives zangu ni hizi ambazo nita pick randomly na kufanya MTR.
Ili kuziona hizo MTR, ni lazima ufungue bandiko husika, halafu nikimaliza MTR zote ndipo nitakuja na conclusion ya projection za Uchanguzi Mkuu wa 2025.
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
Hii ni hatua ya kwanza ya ushirikishwaji, jee tumsaidie Rais Samia, tumfanyie an honest MTR, based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo ili to determine tunapokwenda?, au tusimtathimini rais wetu, tuendelee tuu kwenda hivi hivi, halafu tathimini ifanyike kwenye kampeni za 2025?.
Paskali
Update from mchangiaji very objective.
Mkuu mbenge , asante sana, tangu bandiko hili limepanda, wewe ndie mchangiaji wa kwanza kuchangia kuhusu MTR.
P
Haitarajiwi Msukule wa Mwendazake ufanye analysis Kwa sababu huna akili,una chuki na pia unajua fika kabisa kwamba itaonesha +ve trend so lazima utoe mapovu 😆😆Andiko zuri lakini hakuna Rais hapa. Sijui alitoka wapi masikini huyu. Naamini atapita na Tanzania itabaki.
Hata wewe hapo fanya kwani umekatazwa?Maadam unafanya peke yako ni rahisi kulazimisha majibu unayoyataka wewe kwa sababu zako binafsi.
Uko sahihi, viongozi wengi asili yao ni bush Iramba huko sijui Bumbuli , Kongwa , Mgeta , Malinyi , Lindi huko ndani ndani ila much know sana wakati huko bush wakikua wakilala na njaa au kushindia viazi na mihogo na uji wa chumvi na kutembea peku, mwanga wanaoujua ni wa kibatari, wengine wakiswaga ng'ombe na sasa wako mjini wengi wao wanafikiri wanajua sana kila kitu kuliko raia woteUkiacha angalizo lako lisilo na maana yoyote ( Maana jf unaweza hata kuandika kifaransa na tukachangia tu ) , Ni hivi , viongozi wa Tanzania huwa wanaamini wana akili kuliko raia yoyote , na huwa wanaamini wanajua kuliko yeyote yule , viongozi wengi wa Tanzania wanaamini kwamba wanaowafuatia kwa akili ni watoto wao tu , mifano ni mingi .
Sasa hata tukishauri mpaka damu itutoke kichwani unadhani watatusikiliza ?
View attachment 2856988
hata wewe utapita na Tanzania itabaki, kama alivyopita huyo MaguAndiko zuri lakini hakuna Rais hapa. Sijui alitoka wapi masikini huyu. Naamini atapita na Tanzania itabaki.
Sina huo mudaHata wewe hapo fanya kwani umekatazwa?
Je inaongoza au ina ongozwa🤔Sasa hiyo picha ni viongozi au watoto wa viongozi?
Nchi isiyo ya Kifalme kama Tanzania Katiba Ndio Kiongozi
Evaluation tunazitaka ila kwa huyu ambaye tayari ni chaguo la Mungu na kila alifanyalo lina mkono wa Mungu sijui tutaanzia wapi kumpima ambapo Mungu amekosea.Utaitwa chawa,Huwa hawataki evaluation especially pale zinapo mfavour Rais Samia
Acha kuropoka SasaSina huo muda
Kuwa mpole Mr. Chawa...Acha kuropoka Sasa
Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,Wanabodi,