Ili kuisaidia Yanga, Morrison anahitaji utulivu na heshima uwanjani

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
POLEN sana. wana Yanga wenzangu waacheni watakawatakaosemaa tugange ya mbeleni

Leo nimeona nishauri HILI jambo VIONGOZI wangu WA Yanga wanapenda sana HILI jukwaa kwa TAARIFA tu

Ila zaidi n kuomba uongozi ukae na Morrison AJUE yuko kwa ajili ya Yanga na sio vinginevyo

Sijakataa ile penalty kukosa n kawaida ila kwa Mwenye akili na hekima ikumbukwe kuna DK KADHAA Kumi zimesimama sababu yake kujadiliana penalty ama sio

Kwa hekima kabisa akutakiwa kukimbilia ile penalty hata kidogo kisaikolojia alishatoka mchezoni walipoanza kupigana kiwiko

Niongeze tu lawama hizi zimwendee capt huyu ndiekiongozi uwanjan alipoona sakasaka LA Morrison akutakiwa kuruhusu apige penalty

Innalilah na mwaswabrina
YOTE HERI
Yanga moja daima
 
UNDULEE UNDULIII UWIII
 
Huyu Bw Morrison ana vipaji vingi...Leo katuonyesha kipaji cha kutandika viwiko...! Kavipiga viwiko kiufundi sana kiasi kuwa refa hakuweza kuviona kabisa,labda uwekewe replay....huyu ni komando ..!penalty ya magumashi ile ilikuwa lazima akose......!
 
Ni hivi huyo mchezaji ashajiona ni mkubwa kuliko Yanga ndio maana anafanya upuuzi. Kitendo cha nyinyi mashabiki wa yanga kumshangilia kutembea juu ya mpira pasipo na faida yoyote mmevimbisha kichwa.
 
Huyu Bw Morrison ana vipaji vingi...Leo katuonyesha kipaji cha kutandika viwiko...! Kavipiga viwiko kiufundi sana kiasi kuwa refa hakuweza kuviona kabisa,labda uwekewe replay....huyu ni komando ..!penalty ya magumashi ile ilikuwa lazima akose......!
Umeanza VIZURI ukatapika mwishoon kha
 
Acha wafu wazikane wenyewe
 
MORRIS ANATAKIWA AADHIBIWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena adhabu kubwa sana, mi nilishaacha kuangalia ligi ya bongo kwasababu ya mambo ya kipuuzi kuwa mengi, mara kwenye mitandao ya kijamii naskia kuna mtu anatembea juu ya mpira nikajisemea moyoni huyo jamaa fundi sasa jana naenda kucheki game ya liver ndio nikakuta na game ya yanga cha kwanza kufanya ni kumtafuta huyo mtembea juu ya mpira na nilichokuja kukiona ni kiwiko hatari sana
 
Umeanza VIZURI ukatapika mwishoon kha
Ni kweli ameanza vizuri akamalizia utumbo. Mimi si shabiki wa Yanga lakini kukosoa utoaji wa penati ile ni uzuzu. Ile itabaki penati halali labda uwe unaongea kishabiki.
Nikija kwenye hoja yako ya msingi, nakubaliana na wewe, kama kuna mchezaji hakutakiwa kupiga hata kona kuanzia dk ya 65 ni Morrison. Lakini kwa vile viongozi wanafuata mashabiki wanataka kujenga timu juu ya Morrison anayetembea juu ya mpira, wakamwacha aendelee hadi kumpa penati. Wachezaji wa timu pinzani wanakubali Morrison ni mchezaji mzuri,hivyo wanatafuta mbinu ya kumuondoa mchezoni na wameanza kufanikiwa. Mbinu kubwa ni kumchezea rafu. Awali alikuwa mvumilivu, lakini naona ameanza kuhamaki na kuishiwa uvumilivu. Kwa hiyo ni vema akajengwa kisaikolojia arudi mchezoni. Tunaweza kumlaumu Captain lakini kwa jinsi timu zetu zilivyo, nasiriki kumwondolea lawama kwa sababu si kila Mara anakuwa mwamuzi uwanjani. Tukio kama hili lilitokea England nadhani ilikuwa 2003 Arsenal Vs Man Utd. Ruud Van Nisterloy alichezewa ubabe na kupanikishwa na kina Kewon na Viera karibu mchezo wote. Man Utd wakapata penati ya kumaliza mechi wakampa Ruud, matokeo yake yanashabihiana kwa kila kitu na haya ya Morrison. Tujifunze kutokana na makosa ya wenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda mechi yako ya kwanza kuangalia ni Norwich Vs Liver. Kwamba mchezaji kuhamaki na kupiga kiwiko umeanza kumuona Morrison? Kwamba hakuna mchezaji mzuri duniani aliyewahi kufanya kama Morrison? Itendee haki soka, Soka ina burudani, mihemko, hasira, maombolezo, hisia, huzuni, kicheko. Enjoy soccer brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suarez anang'ata watu na mpira tunauona, haya jana morrison kafanya nini zaidi ya kipepsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…