kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli.
Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda.
Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa lengo la kutawala uchumi licha ya kua ni wachache ndio kiini cha ukosefu amani eneo la maziwa makuu.
Ikiwa nchi za Afrika Mashariki zinataka kupata amani ya kweli congo lazima kwanza kuleta demokrasia Rwanda ili kuwakomboa wananchi dhidi ya utawala wa wachache.
Dola ya Kitutsi Rwanda ndio mzizi wa fitna. Rwanda wamekua mstari wa mbele kuunga mkono madai ya raia wa Congo Watutsi kutaka kupewa madaraka makubwa kwenye vyombo vya ulinzi na serikali kinyume na utaratibu wa kidemokrasia.
Rwanda ya Kagame inaelekea kutekeleza mpango wenye lengo la muda mrefu kwa kuungwa mkono na nchi za Magharibi zenye nia ya kupora madini ya Congo.
Lengo hilo sio jema kwa amani na mstakabali wa nchi za eneo la maziwa makuu Afrika.