Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote.

Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna.

My take: Mimi ni simba galagazwa
 
Mleta mada kajichukulie kadi ya CCM haraka sana, ume qualify kuwa member wa CCM
 
Ni ubishani wa kipuuzi tu, Yanga ilikuwepo kabla ya Tanu, CCM n.k iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
DNA ya nchi hii ni Yanga, Simba ni timu iliyo anzishwa Ili kuweza kuwagawa wa Afrika, ni timu iliyo fadhiliwa na watu weupe Ili wa Tanganyika wasifanikiwe haraka kupata uhuru.
 
Timu yenu inafadhiliwa na mtu mweusi? Inakuwaje mmechagua raid msomali? Yanga ni chuo cha kuzalisha wajinga.
 
Ni ubishani wa kipuuzi tu, Yanga ilikuwepo kabla ya Tanu, CCM n.k iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
DNA ya nchi hii ni Yanga, Simba ni timu iliyo anzishwa Ili kuweza kuwagawa wa Afrika, ni timu iliyo fadhiliwa na watu weupe Ili wa Tanganyika wasifanikiwe haraka kupata uhuru.
huoni aibu kuandika upuuzi kama huo,Simba na Yanga wote walianzishwa kabla ya TANU na Uhuru ,hata kuzaliwa wamepishana miaka miwili ,sijui unapata faida gani kuandika pumba kama nguruwe mwanzako
 
Yanga ilianzishwa 1935 ya mwezi gani?
 
Ni ubishani wa kipuuzi tu, Yanga ilikuwepo kabla ya Tanu, CCM n.k iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
DNA ya nchi hii ni Yanga, Simba ni timu iliyo anzishwa Ili kuweza kuwagawa wa Afrika, ni timu iliyo fadhiliwa na watu weupe Ili wa Tanganyika wasifanikiwe haraka kupata uhuru.
Wewe na mtoa mada wote ni vishoia

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
huoni aibu kuandika upuuzi kama huo,Simba na Yanga wote walianzishwa kabla ya TANU na Uhuru ,hata kuzaliwa wamepishana miaka miwili ,sijui unapata faida gani kuandika pumba kama nguruwe mwanzako
Simba ilianzishwa na Yanga.wasaliti walio ondoka Yanga baada ya kuahidiwa na watawala wa kikoloni kununuliwa viatu vya kuchezea mpira.
 
makolo ni shida kweli kweli, yaani mna amini Kabisi mna weza kuwa wengi kuliko wananchi wenye nchi yao ??, basi ebu nendeni wizara ya michezo mkaone stitistics zao zikoje kwenye hili!
 
Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote.

Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna.

My take: Mimi ni simba galagazwa
Si uangalie tu kwenye kura za Nani Zaidi
 
Utopolo bana
JamiiForums-480596750.jpg
 
Back
Top Bottom