Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Katiba ndio inaondoa matumizi mabaya ya pesa za umma kiaje?Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo?
Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao zinatumika hovyo? Pesa wanazokamuliwa kwenye kodi na tozo za kila namna.
Hii katiba ya sasa haijawapa mamlaka ya kutawala taifa lao. Hawana mamlaka ya kuliwajibisha bunge na rais anayetumia madaraka isivyotakiwa.
Hivi kila mada lazima mchangie?Katiba ndio inaondoa matumizi mabaya ya pesa za umma kiaje?
Harafu watu wako busy na kusaka pesa mambo ya katiba mnayajua nyie humu mitandaoni.
Katiba ni mali ya wananchi. Wananchi tuamue kuwa na katiba inayotopa madarakaCCM na Mabeberu wao wa Kimarekani, kamwe hawatokubali tuwe na Katiba yenye kulinda maslahi ya nchi na watu wake.
Eti leo chagu wa malunde wa kuandika haya?? Dunia inazunguka kea Kasi sana. Aliyekuwa akitumia pesa vibaya tena peke yake na wanyampala wake ni Malaika kutoka Chato. Tulieni Skuma gang watu watengeneze maisha mliyoyaharibu kwa nusu muongo tu.Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo?
Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao zinatumika hovyo? Pesa wanazokamuliwa kwenye kodi na tozo za kila namna.
Hii katiba ya sasa haijawapa mamlaka ya kutawala taifa lao. Hawana mamlaka ya kuliwajibisha bunge na rais anayetumia madaraka isivyotakiwa.
Huyu jamaa uchawa wake Kwa Samia umemfanya awe mpumbavu kabisa.Hivi kila mada lazima mchangie?
Katiba Mpya haiepukiki Kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nafurahi kama na wewe Chagu umepata ufunuo huuKatiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo?
Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao zinatumika hovyo? Pesa wanazokamuliwa kwenye kodi na tozo za kila namna.
Hii katiba ya sasa haijawapa mamlaka ya kutawala taifa lao. Hawana mamlaka ya kuliwajibisha bunge na rais anayetumia madaraka isivyotakiwa.
Kama hulijui hili basi bora wazazi wako wangefuga nguruwe kuliko kukupeleka shule maana ulisindikiza wengine wewe umebaki na ujinga wakoKatiba ndio inaondoa matumizi mabaya ya pesa za umma kiaje?
Harafu watu wako busy na kusaka pesa mambo ya katiba mnayajua nyie humu mitandaoni.
Nasisitiz Katiba mpya haiwezi kupunguza gharama za serikaliKama hulijui hili basi bora wazazi wako wangefuga nguruwe kuliko kukupeleka shule maana ulisindikiza wengine wewe umebaki na ujinga wako
NdioHivi kila mada lazima mchangie?
Ukikua utaacha ujingaEti leo chagu wa malunde wa kuandika haya?? Dunia inazunguka kea Kasi sana. Aliyekuwa akitumia pesa vibaya tena peke yake na wanyampala wake ni Malaika kutoka Chato. Tulieni Skuma gang watu watengeneze maisha mliyoyaharibu kwa nusu muongo tu.
Unadandia masuala usiyoyajuaNasisitiz Katiba mpya haiwezi kupunguza gharama za serikali
Unajua katiba ni nini?Mkuu matumizi ya fedha za Umma hayategemiani na Katiba Mpya!
Sio kweli.Sio rahisi kihivyo kuwapokonya walamba asali tonge. UHURU ulipiganwa kwa maslai binafsi na sio maslai ya taifa
Lete hojaSio kweli.
Ndoto za mchana! Watetezi wake wamelambishwa Asali, MBOWE kapewa hela yake na Tundu Lissu kahongwa ati kiinua Mgogo cha Ubunge, yote hongo ya kuwanyamazishaKatiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo?