Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

Nzanzibar vitu bei chini kikija huku tanganyika bei inakuwa kubwa sana toka tanganyika kwenda zenjibar bei wanapewa ndogo hii sio sawa sisi wote ni watanzania
 
Sasa kwanini BOT ichapishe pesa isiyoweza kutumika? Ukizingatia kuchapisha pesa ni gharama kubwa sana? Na akalipa kwa cash kisha akapewa risiti yake.., utamfanya nini? Yaani uta-enforce vipi hilo agizo la lipa namba?
Ndiyo hizo gharama za BoT tunataka kupunguza!

Ukweli tukitaka Kwenda paperless na coinless shart lazima tumiliki technology ya kufanya transaction hizo kwa asilimia mia moja.

Kwa Sasa tutapigwa balaa!
 
Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA.

Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe inakata Kodi moja kwa moja kimtandao na kuiwasilisha TRA.

Hii inaweza kupunguza kukimbizana mitaani,kupanua wigo wa Kodi, na Kila mtu anapodai maendeleo, kwanza aonekane amewajibika kulipa Kodi.

Haina haja ya kununua device mpya, ni simu hiyohiyo ya mmiliki wa biashara na laini ya/za simu alizowasilisha kwa mamlaka na LIPA NAMBA yake, na kama inaonekana LIPA NAMBA haitumiki, basi mamlaka, kimfumo, Ione, na waweze kumfikia hata kimitego
Unafanya biashara kweli?

Vipi kwa mteja Mwenye cash... Naye alazimishwe kulipa kwa lipa namba??
 
Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA.

Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe inakata Kodi moja kwa moja kimtandao na kuiwasilisha TRA.

Hii inaweza kupunguza kukimbizana mitaani,kupanua wigo wa Kodi, na Kila mtu anapodai maendeleo, kwanza aonekane amewajibika kulipa Kodi.

Haina haja ya kununua device mpya, ni simu hiyohiyo ya mmiliki wa biashara na laini ya/za simu alizowasilisha kwa mamlaka na LIPA NAMBA yake, na kama inaonekana LIPA NAMBA haitumiki, basi mamlaka, kimfumo, Ione, na waweze kumfikia hata kimitego
Mkuu kwanza tujifunze kuwa na nidhamu ya matumizi kwa hiki kinachokusanywa sasa hivi kabla ya kuongeza wigo wa kukusanya zaidi.
Tatizo sio uhaba wa makusanyo, changamoto ipo kwenye matumizi mazuri ya makusanyo husika

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo hizo gharama za BoT tunataka kupunguza!

Ukweli tukitaka Kwenda paperless na coinless shart lazima tumiliki technology ya kufanya transaction hizo kwa asilimia mia moja.

Kwa Sasa tutapigwa balaa!
Nitajie nchi moja duniani iliyoacha kuchapisha pesa za makaratasi, maana tusiongee vitu kama tupo ndotoni...; tujadili vitu vyenye application walau in the near future kama sio immediately..
 
Mkuu kwanza tujifunze kuwa na nidhamu ya matumizi kwa hiki kinachokusanywa sasa hivi kabla ya kuongeza wigo wa kukusanya zaidi.
Tatizo sio uhaba wa makusanyo, changamoto ipo kwenye matumizi mazuri ya makusanyo husika

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mtu anakopa trillion 4 halafu riba trillion 2, just imagine, na hata hiyo trillion 4 inayeyukia tu hewani, ukiuliza wamefanyia niki huo mkopo wanakwambia tumenunua chanjo za Covid19, kwahiyo tunakaliwa kooni kulipa trillion 6 hewa!
 
Nitajie nchi moja duniani iliyoacha kuchapisha pesa za makaratasi, maana tusiongee vitu kama tupo ndotoni...; tujadili vitu vyenye application walau in the near future kama sio immediately..
Nadhani swali lingekuwa more relevant. Kama ungeniuliza ni nchi gani kwa Sasa matumizi ya coinless na paperless yake ni Karibu asilimia mia moja. Hili swali ndilo lengeweza kubeba mantiki ninayoizungumzia hapa chini.

Kwa kukufahamisha tu, nchi hizo unazotaka nisizitaje kuwa bado zinaendelea kutumia paper zake za karatasinama coin ni kuwa ni kwa ajili shughuli maalumu zaidi ya hiyo unayoiona hadharani!

Asubuhi njema.
 
Swali ni rahisi tu, ni nchi gani hapa duniani imepiga marufuku matumizi ya pesa za karatasi / Coin? Maana implication ya pendekezo hili ni kwamba ukalipa pesa cash na ukapewa risiti inakuwa ni kosa kisheria..., nadhani utaratibu mzuri ingekuwa kuiomba BOT iache kichezea pesa kuchapisha pesa, maana kuchapisha pesa ni gharama..., baadabya hapo malipo yote yatafanyika digitally, hata sio lazima lipa namba.., mtu amaweza akalipa directly bank tu kwa sim bankingau kwa kuswipe tu. Ila tuache kuchapisha noti kwanza, ndio mengine yajadiliwe.

Back
Top Bottom