Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Hii Nchi ina Watu wa Kujipendekeza Njaa Mbaya Sana
Alisema Balozi MwapachuKama hujaelewa ni wa kuambiwa magu jambo hili nakukabizi ww hakikisha unalisimamia hapo utampenda mjomba magu sio kuwa raisi wa nchi, Was and still is a big mistake ever done him being a president
Unapotetea hata mambo yanayoonyesha mtu huyu ni mbinafsi sijui kuwa WaTz tumerogwa na nani ?!Mpango wa kujenga chato ulikuwepo kabla hajaingia madarakn
Bora ubinafsi wa kujenga uwanja kuliko ubinafsi wa kujilimbikizia mali kama lowassaUnapotetea hata mambo yanayoonyesha mtu huyu ni mbinafsi sijui kuwa WaTz tumerogwa na nani ?!
Sifa si ndio inayompa mtu umaarufu ambao unampa ushindi?tatizo la rais wetu anataka sifa mwenyewe hataki kuweka mfumo ambao utainyoosha nchi hii hata kama akiondoka madarani.
Misifa , misifa, misifa
Mmeishia kukariri kama KasukuBora ubinafsi wa kujenga uwanja kuliko ubinafsi wa kujilimbikizia mali kama lowassa
Kuna mtanzania gani asiyejua kuwa lowassa ni miongoni mwa mafisadi wa nchi hii hata mtoto wa darasa la 4 ukimpa swali linalohusu ufisadi anamtaja lowassaMmeishia kukariri kama Kasuku
Kwani uvuvi sio kaziMmeshaanza kutokwa miPOVU baada yakuhisi mtukufu uchaguzi ujao atarudi Kuvua samaki
Umepoteza uelekeo ,Lowassa kaingiaje kwenye hoja hii ??!!Bora ubinafsi wa kujenga uwanja kuliko ubinafsi wa kujilimbikizia mali kama lowassa
Ulimsikia MWAKYEMBE alivyosema kuhusu Mahakama ya Mafisadi....Endelea kumwaga Omo ukiamini umaskini wako utaondoka kwa kumchukia Mwenye. HELAKuna mtanzania gani asiyejua kuwa lowassa ni miongoni mwa mafisadi wa nchi hii hata mtoto wa darasa la 4 ukimpa swali linalohusu ufisadi anamtaja lowassa
Alikufisadi nini ??!!Kuna mtanzania gani asiyejua kuwa lowassa ni miongoni mwa mafisadi wa nchi hii hata mtoto wa darasa la 4 ukimpa swali linalohusu ufisadi anamtaja lowassa
Namchukia fisadi yeyote...lowassa alishathibishwa na kamati ashtakiwe kwa mara ya pili ama la haibadilishi ufisadi wake halafu katika mazingira ya kawaida haiwezekani alikuwa mtumishi wa serikali toka akiwa na miaka 28 anawezaje kuwa na utajiri huo mkubwa alifanya biashara wakati gani?Ulimsikia MWAKYEMBE alivyosema kuhusu Mahakama ya Mafisadi....Endelea kumwaga Omo ukiamini umaskini wako utaondoka kwa kumchukia Mwenye. HELA
Amefisadi nchi hafikishwi mahakamani sab ya ccm kulindana lkn alishathibishwa na mahakama ya bunge kuwa ni fisadi inatosha kwa kuanziaAlikufisadi nini ??!!
Hivi ile Mahakama ya mafisadi inafanya nini??!!
Tunahitaji katiba makini itakayosaidia kusimamia na kulinda mipango mikakati makini na ya muda mrefu. Huyu wa "one man show" alipaswa kuwa PM chini ya committed, visionary but non compulsive president.Naunga mkono hoja na hili na mimi pia niliwahi kulizungumzia na nikapendekeza tumpe angalau vipindi 4 vya miaka mitano mitano na kusiwe na uchaguzi wa rais ili kubana matumizi.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Nilisema hivi
Pascal
Mkuu kwanza nikupongeze kwa makala ndefu
Lakini umetolea mfano way out of context
1. Singapore na Malysia huwezi kuziweka kwenye kundi moja la maendeleo hutajifunza kitu hapo, Singapore wako mbali hadi basi yaani
2. Singapore waliendelea kwa ku take advantage of their location, wali tengeneza bandari zao, viwanja vya ndege , walipunguza kodi na regulations za ajabu, wali ifumua elim yao na kuilenga kwenye kuvutia uwekezaji, wao walikuwa ni urban country toka kitambo lakin pia serikali ilipiga kazi kwenye kuwekeza.
2. Malaysia wao wana natural resources kama sisi bongo, halafu wao kidogo hata system zao za siasa ni ngum kidogo na kuna mchanganyiko wa watu mbali mbali so ku wamange ni shida, Malaysia wao wali anza kama Magufuli eti wanatoa rushwa, lakini wataalam wao waka waambia hakuna correlation kati ya rushwa na umaskini wao, walicho fanya ni kuwekeza kwenye madini na mafuta na kilimo, waka ifumua elimu yao na kuwekeza kwenye sayansi mfano kila mwaka wanafunzi wanao graduate vyuo vikuu asilimia 30% wana graduate mechanical engeneering, waka wekeza kwenye kujenga miundo mbinu mizuri kwa ajili ya uwekezaji, pia waka weka mazingira ya kuvutia wataalm wa nje kwenye nafasi za juu za makampuni yao. Japo Malaysia wanakua kwa kasi bado haija ingizwa kwenye kundi la developed countries.
*japo umejitahidi kumtetea Magufuli hakuna chochote anacho fanya kinacho endana na Malaysia, singapore ndio kabsaa. So sijajua case ya Rwanda labda wenzetu walifanya anacho fanya Magufuli. Lakini this man is failing moja kwa moja
Asee ni kweli huyu bhana kuna time huwa ana zingua mpaka basikuna wakati sikuelewagi
itabidi niwe nakunywa gongo wakati napitia nyuzi zako huenda nitakuelewa zaidi