ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kazi ipo ndio maana nasema haya mambo ya mahusiano ni batili yaan badala ufanye vitu vya kumpa maraha huyo bibie ndio kwanza unapanga kumkwazaš hivi hakuna namna tukaja na slogan kataa mahusiano kama ilivyo kataa ndoa
#kataa mahusiano ubaki na amani š
#kataa mahusiano ubaki na amani š