Ili mwanamke akupende inabidi utumie mbinu hii

Hivi faida ya kuwa na Wanawake (michepuko) wengi ni ipi katikati ya Dunia hii yenye maradhi lukuki kwasasa?

Hayo mambo tuliyafanya sisi Wazee wenu mwaka 47, enzi ambazo hakukuwa na homa ya ini ama HIV kama ilivyosasa

Hakukuwa na kuleteana watoto wa nje nyumbani eti Mchepuko anakuletea mtoto wako wa nje kisa anataka child support (urithi n.k) kama ilivyosasa

Hakukuwa na kuombana hela ya gesi, Kodi ya nyumba, iphone 17, hela ya saluni n.k, Wanawake wetu enzi zile walikuwa wanaridhika na msuko wao wa twende kilioni basi sio kama sasa unaombwa laki 3 ya saluni 🤪, ukiombwa mara 2 tu vitu hivi si utafanya watoto wako na mkeo nyumbani walale njaa na Giza kwa kukosa hela ya luku

Wakati ambapo hakukuwa na ulazima wa kupeleka nywele,jasho,nguo ya mtoto kwa Mkemia Mkuu ili kupima kujua watoto uliopata na mkeo ni wako halali ama umesingiziwa, Hapa tuliamini msemo wetu wa "Kitanda hakizai haramu"
 
Sasa babu kwani wanawake wa zamani wamekufa wote??
 
Back
Top Bottom