Ili mwanamke akupende inabidi utumie mbinu hii

Kazi ipo ndio maana nasema haya mambo ya mahusiano ni batili yaan badala ufanye vitu vya kumpa maraha huyo bibie ndio kwanza unapanga kumkwaza😀 hivi hakuna namna tukaja na slogan kataa mahusiano kama ilivyo kataa ndoa
#kataa mahusiano ubaki na amani 📌
 
Unaongea kwa mujibu wa takwimu za wapi mkuu isije kuwa ni maneno ya vijiweni
 
Bila shaka mbinu hii, unawaongelea Wavulana na Wasichana wasiojielewa,

Mwanamke akijua una wanawake wengi na akakupenda,ujue anafaidika na jambo lingine kabisa toka kwako nje ya mapenzi,na akisha kamilisha misheni yake,lazima asepe kivyake.
If that the case basi we can conclude kwamba hakuna upendo kwenye ndoa ya mwanaume aliyeoa mke zaidi ya mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…