Mwanamme anayefuatilia fuatilia maisha ya faragha ya wanaume wenzake asiowajua anaweza kuwekewa shaka uanaume wake.Wakuu,
Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa
bachelors tupate chochote kitu
View attachment 3426809
Duh! Mjomba? Waambie walioko hapo kikaoni kwamba Waliomo humo ndoani wanakazana kutoka/kujinasua kutokana na madhila yaliyomo e.g.:Wakuu,
Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa
bachelors tupate chochote kitu
View attachment 3426809
Ni sahihi kabisa na hilo ni la msingi sana ili kuepuka kupata sononeko na msongo wa mawazo pale inapotokea umeshindwa kumfikia au kumpita huyo unayejilinganisha naye.Hawo ni wale dizaini ya watu wanaopenda kujilinganisha na watu wengine, Mafanikio ya mtu A yanaweza yasiwe mafanikio kwa mtu B. Vipaumbele vya mtu binafsi ni vya muhimu sana ili kuepuka hiyo hali ya kujilinganisha na watu wengine.
Nime cheka sana kudadadekiMwanamme anayefuatilia fuatilia maisha ya faragha ya wanaume wenzake asiowajua anaweza kuwekewa shaka uanaume wake.
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Yupo kwenye kitengo cha promo??Huyo ni feminist wa kiume
Naam,Nime cheka sana kudadadeki