Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Huu ni ukweli ulio katika uongoWakuu,
Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa
bachelors tupate chochote kitu
View attachment 3426809
Huu ni ukweli ulio katika uongoWakuu,
Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa
bachelors tupate chochote kitu
View attachment 3426809
Asikudanganye mtu wategemezi wakikuzidi utafanikiwa nini huyo anayekwambia hivyo kafanikiwa kununua boda boda fikiria BABA MKWE aumwe tezi dume, mama mkwe miguu, shemeji Yako umsaidie ada, wengine mitaji Bado misiba + Kwenu halafu kipato Cha 150000 pumbavu zake mwambieWakuu,
Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa
bachelors tupate chochote kitu
View attachment 3426809