Asikudanganye mtu wategemezi wakikuzidi utafanikiwa nini huyo anayekwambia hivyo kafanikiwa kununua boda boda fikiria BABA MKWE aumwe tezi dume, mama mkwe miguu, shemeji Yako umsaidie ada, wengine mitaji Bado misiba + Kwenu halafu kipato Cha 150000 pumbavu zake mwambie
Sio kweli asilimia kubwa wanawake wamewafelisha waume zao na wengine wamewaua ili wamiliki mali mwanamke ni ibilisi mkubwa na ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili