Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

Siyo lazia.uwe na kadi ya chama maana kadi haitoshi.

Wewe tumia mbinu hii, miezi 2 mingi utapata teuzi.

=====

Jipachike cheo hata ambacho hakipo. Jiite KIJANA MZALENDO.

Kisha hakikisha kila will unaita vyombo vya habari UNAMTETEA kweli MTEUZI yaani Samia.

Akitokea mtu anamponda Samia, hata awe Lissu, Mdude,Mbowe au yeyote Ita vyombo vya habari MPONDE kinoma huyo mtu.

Ghafla utapata teuzi.

=====

Mbinu nyingine zinafanyika Kama wewe ni mtu maarufu iwe wa kwenye Media,Msanii,au popote. Wewe uwe unamwaga sifa tu, UTAONWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…