Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema hakuna cha bure, lazima ukiangaikie
Ndio vigezo vikyuu hivyo, uzoefu & elimu weka kando kwanza...vitafuatia badaeee.
Oa kwanza
Kama unataka nafasi ya juu yoyote.
Waulize wa CCM watakupa majibuNdoa + K ya huyo mke.
VINAUHUSIANO gani na huo uteuzi?
#YNWA
Naomba ufafanuzi hapo kwa mapadre tu. Hao watu kwani wana uhusiano na serikali ya mama1. Uwe na unatashi wa kupata kazi unayoitaka.
2. Uwe well connected na watu sahihi kama mapadre, mkuu wako wa kaz, chama, usalama na wizaran
3. Mlengo wa kisiasa ujulikane, umtukuze mama
4. Pesa, kwa ajiri ya nauli, kuhudumia koneksheni na kuhonga itakapobidi.
Huo ujinga aliuleta mpumafu Mmoja Magufuli. . huwezi teua from nowhere paaaa ... Mkurugenzi hata file movement hajui... Paaa DC ... Hata Decentralization Act (Sheria ya Ugatuaji wa Madaraka) inakataaa akajiwahi ...walipohoji ... Mara Vuuuu akaivuta TAMISEMI (TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA ambayo inatakiwa kikatiba na kisheria kusimamiwa na Waziri Mkuu) akaivuta kwake paaaaap... Asihojiwe ..na huyu mama naye kaingie mkenge mnamsifu tu ... Waziri Mkuu Kwa sasa ni Ceremonial Figure tu hana mamlaka yeyote .... Ni kidole pistol ...INTRODUCTION
Eeh bwana ehh habari zenu
Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee.
Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa, Ikulu, na Wizara.
Mimi ni mtumishi wa halmashauri, Elimu yangu ni Bachelor of Science in ..... na Masters of Science in ....., na nina miaka 10 kazini Halmashauri (experience).
SCENARIO
Juzi mama alivyoteua ma-DC Kuna jambo nikakumbuka, nimeoma niwashirikishe ili mnipe jibu.
Kipindi kile mama alivyomteua nadhani Mkuu wa Magereza nilikua Dodoma kwenye semina Morena Hotel.
Sasa tukiwa tunapiga breakfast seminani zikapita gari V8 kaliii nyeusi na ving'oro pale kwenye lami ya Morena, kwamba Mkuu wa Magereza anaenda Ikulu kuapishwa.
Mimi nikaropoka "Mimi huyo miaka 5 ijayo nitapanda hizo gari nikielekea Ikulu kuapishwa baada ya kula uteuzi wa Mama"
Sasa tukiwa pale mezani jamaa mmoja akaniuliza "Una Kadi ya Chama?" Jibu likawa hapana. Ila tulipiga story na vitu vingiii kuhusu uteuzi na CCM, ila niliondoka na hili.
PROBLEM
Ili upate uteuzi haijalisha muda wako wa Kazi (Experience/duration), Haijalishi Elimu yako, ila KINACHOTAKIWA UWE NA KADI YA CHAMA CCM.
Kwamba, hata upige Kazi vipi ofisini ila ili uonekane Basi ni lazima uwe na Kadi ya CCM. Yaani ukitaka tobo la uteuzi basi shikiria Kadi ya CCM na uitangaze kama unayo, yaani ishi ki-CCM.
QUESTION
Sasa Je, ni kweli hili jambo ni sahihi? Kwamba pamoja Nina Miaka 10 serikalini na elimu ya Masters ila bado natakiwa kuwa Kadi ili mama anione mimi mtumishi wake Bora huku Kijijini?
(Halmashauri yetu ni Chaka/vijiji hasa)
Yaani ili nilambe uD(R) C, uDED, uD(R)AS, na vyengine ni lazima nijinadi ndani ya CCM na kuwashughulika na hoja za wapinzani mpaka mama atakaponisikia na kuniona?
Kwamba nikiwa hivihivi Neutral (kama nilivyosasa sina Kadi) basi hata nipige Kazi haswa ila NISAHAU UTEUZI?
#YNWA
Hakuna cha bahati, watu wanasotea haya mambo, iwe kimya kimya au kwa kuonekanaNa mahangaiko ni kupitia CCM?
#YNWA
Hata mimi sijui, lakn mdogo wangu alipata uteuz ngaz ya kata kwa kupendekezwa na paroko kwa RAS kwenye gambe.
dogo anapga noti tu, hata hajui kuna mishahara.
Wengi wao ni vipenyo japo sio woteNaomba ufafanuzi hapo kwa mapadre tu. Hao watu kwani wana uhusiano na serikali ya mama
Kwani mkuu hukuona teuzi za ma DED kuna vitoto vidogo vikada vikipewa uDED wakati eneo hilo hilo kuna wakongwe kama wewe mnao jua halmashauri nje ndani?INTRODUCTION
Eeh bwana ehh habari zenu
Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee.
Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa, Ikulu, na Wizara.
Mimi ni mtumishi wa halmashauri, Elimu yangu ni Bachelor of Science in ..... na Masters of Science in ....., na nina miaka 10 kazini Halmashauri (experience).
SCENARIO
Juzi mama alivyoteua ma-DC Kuna jambo nikakumbuka, nimeoma niwashirikishe ili mnipe jibu.
Kipindi kile mama alivyomteua nadhani Mkuu wa Magereza nilikua Dodoma kwenye semina Morena Hotel.
Sasa tukiwa tunapiga breakfast seminani zikapita gari V8 kaliii nyeusi na ving'oro pale kwenye lami ya Morena, kwamba Mkuu wa Magereza anaenda Ikulu kuapishwa.
Mimi nikaropoka "Mimi huyo miaka 5 ijayo nitapanda hizo gari nikielekea Ikulu kuapishwa baada ya kula uteuzi wa Mama"
Sasa tukiwa pale mezani jamaa mmoja akaniuliza "Una Kadi ya Chama?" Jibu likawa hapana. Ila tulipiga story na vitu vingiii kuhusu uteuzi na CCM, ila niliondoka na hili.
PROBLEM
Ili upate uteuzi haijalisha muda wako wa Kazi (Experience/duration), Haijalishi Elimu yako, ila KINACHOTAKIWA UWE NA KADI YA CHAMA CCM.
Kwamba, hata upige Kazi vipi ofisini ila ili uonekane Basi ni lazima uwe na Kadi ya CCM. Yaani ukitaka tobo la uteuzi basi shikiria Kadi ya CCM na uitangaze kama unayo, yaani ishi ki-CCM.
QUESTION
Sasa Je, ni kweli hili jambo ni sahihi? Kwamba pamoja Nina Miaka 10 serikalini na elimu ya Masters ila bado natakiwa kuwa Kadi ili mama anione mimi mtumishi wake Bora huku Kijijini?
(Halmashauri yetu ni Chaka/vijiji hasa)
Yaani ili nilambe uD(R) C, uDED, uD(R)AS, na vyengine ni lazima nijinadi ndani ya CCM na kuwashughulika na hoja za wapinzani mpaka mama atakaponisikia na kuniona?
Kwamba nikiwa hivihivi Neutral (kama nilivyosasa sina Kadi) basi hata nipige Kazi haswa ila NISAHAU UTEUZI?
#YNWA
Baadhi yao sio wengi wao. Na sehemu nzuri sana ya kufanya recruitment ya hawa ni seminari, mtu aliyetoka seminari ni jasusi mzuri kiasiliaWengi wao ni vipenyo japo sio wote