Vita hamna kitu mkuu jana nimewaona. Beki zao wamefanya makisa ya ajbu sana. Kuna kama mipira miwili hivi ilipigwa mabeki wakashindwa kuizuia. Kwa mchina hatoki kabisa.Why asifungwe? Vita unawachukulia poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita hamna kitu mkuu jana nimewaona. Beki zao wamefanya makisa ya ajbu sana. Kuna kama mipira miwili hivi ilipigwa mabeki wakashindwa kuizuia. Kwa mchina hatoki kabisa.Why asifungwe? Vita unawachukulia poa
Sasa hivi ndiyo tunaanza kuelewa underdog ni nani kwenye kundi.
Nakuinga mkono. Pale kwa mchina hotoki mtu.Sio kuwachukulia poa mpira wa Africa ni fitna na timu inayokua nyumbani inafaidika Vita wale wakija kwa Mkapa watakua wakawaida Kama walivyokua Nkana,js saoura na Al Ahly,kwa Mkapa Simba hamwachi mtu salama Simba spirit yake ipo ivyo kwenye group stage wale waarabu au Nkana sio kwamba walikua wabovu ila wakija pale kwa Mkapa hawawi wale mnaowajua watatafuta dkk ya 1 Hadi ya 90'
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu mlisema hivyo hivyoMpira waliocheza As Vita Jana na beki zile za kina wawa naziona zile tano zinarudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha chuki pembeni chambua mpira hivi As Vita na Al Ahly wachezaji gani wenye experience? Embu muwe mnajua ABC za Mpia sio kubisha bisha tuu.....Al Ahly wamekuja Dar es salaam na mchezaji ambae ametoka ligi ya uingereza ambaye wamemchukua kwa mkopo na akawa nazurula tuu.. narudia Tena soka la Africa hiliKwa wachezaji wa aina ya Vita kelele za mashabiki ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa maana wanaexperience kubwa kuliko Simba
Sio sis wenye option ya kushinda. Hao wengine pia wana option ya kushinda piaMpaka sasa ni sisi tunaoburuza mkia kwenye kundi, na tuna only one option ya kushinda.
Sio sis wenye option ya kushinda. Hao wengine pia wana option ya kushinda pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wako upi?Mimi naangalia upande wangu, siyo wakenu ninyi maadui.
Hakuna underdog hapa kwa sababu mpaka sasa hakuna timu iliyoonyesha uwezo mkubwa kuzidi wengine. Timu zote kwenye hili kundi zimepata matokeo nyumbani na zimepoteza ugenini. Ndo maana timu zote itakayopata matokeo mechi ya mwisho itafuzu.Sasa hivi ndiyo tunaanza kuelewa underdog ni nani kwenye kundi.
Huyo Ajeji wa Dar alifanya nini Dar?Kuna kipindi uliona Al Ahly wanapiga back pass square pass,kipa anaanza kwa adui wananyang'anywa miguuni...ulimwona yule "Ajeyi" wa misri na wa dar es salaam?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar Simba huwa haifungwiHuyo Ajeji wa Dar alifanya nini Dar?
Walishinda???
Ujinga ni maradhi. Michango inaendeleaje?
Imefikia milioni 30?
Acha chuki pembeni chambua mpira hivi As Vita na Al Ahly wachezaji gani wenye experience? Embu muwe mnajua ABC za Mpia sio kubisha bisha tuu.....Al Ahly wamekuja Dar es salaam na mchezaji ambae ametoka ligi ya uingereza ambaye wamemchukua kwa mkopo na akawa nazurula tuu.. narudia Tena soka la Africa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alivofariki Mwenyekiti msaidizi wa Kamati ya usajili wa Chura Irumbi mkashinda mechi na Namungo?Week ijayo kabla ya mechi utasīkia mwenyekiti wa tawi fulani la underdog amefariki ujue hapo kazi ishaanza kufanywa na ile kamati ya ufundi
Hakuna underdog hapa kwa sababu mpaka sasa hakuna timu iliyoonyesha uwezo mkubwa kuzidi wengine. Timu zote kwenye hili kundi zimepata matokeo nyumbani na zimepoteza ugenini. Ndo maana timu zote itakayopata matokeo mechi ya mwisho itafuzu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe lilitupwa gizani naona unalalamika maumivuKama alivofariki Mwenyekiti msaidizi wa Kamati ya usajili wa Chura Irumbi mkashinda mechi na Namungo?
Ujinga ni maradhi.
Mechi za mwisho za makundi ya CAF Champions League zitapigwa wikiendi ijayo.
Simba Sc ya Tanzania inashika nafasi ya nne katika kundi lake lakini bado ina nafasi ya kufuzu robo fainali. Mechi za mwisho za kundi lake ni;
Simba Vs As Vita
Al Ahly Vs Js Soura
Je matokeo ya hizo mechi zote mbili inabidi yaweje ili Simba aweze kushinda na kusonga robo fainali?