Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Naskia Mkude hatochezaWale As Vita wanajua Sana...game itakua ngumu sana,lakini kwenye soka lolote linaweza kutokea...Simba nguvu moja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia Mkude hatochezaWale As Vita wanajua Sana...game itakua ngumu sana,lakini kwenye soka lolote linaweza kutokea...Simba nguvu moja!
Siku zote ulikuwa umefunga bakuli lako leo naona ndo umelifungua...subiri mechi ya mwisho utalifunga tuSasa hivi ndiyo tunaanza kuelewa underdog ni nani kwenye kundi.
Usiangalie upande wa maadui wakati ndo unashindana naoMimi naangalia upande wangu, siyo wa maadui.
Kama ndo unachojua basi hujui kitu
Ndondo cup au?
Siku zote ulikuwa umefunga bakuli lako leo naona ndo umelifungua...subiri mechi ya mwisho utalifunga tu
Ni ujinga kunasibisha kifo na mpira.Ndio maana nimeuliza swali.Jiwe lilitupwa gizani naona unalalamika maumivu
Pole sanàNi ujinga kunasibisha kifo na mpira.Ndio maana nimeuliza swali.
Ulivyo mzito wa kufikiri hukujua kwamba ni swali
Kuna wafiwa kwenye hizo sweeping statements zako hivyo jifunze ustaarabu. .
Kwahiyo Wewe hapo umechambua? Mahitaji ya game zilizopita na saizi ni tofauti,umbumbumbu usikufanye uwe mgumu kuelewaAcha chuki pembeni chambua mpira hivi As Vita na Al Ahly wachezaji gani wenye experience? Embu muwe mnajua ABC za Mpia sio kubisha bisha tuu.....Al Ahly wamekuja Dar es salaam na mchezaji ambae ametoka ligi ya uingereza ambaye wamemchukua kwa mkopo na akawa nazurula tuu.. narudia Tena soka la Africa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahitaji ya game ya mwisho ni tofauti sana,wewe beki yako ipo vizuri? KVita hamna kitu mkuu jana nimewaona. Beki zao wamefanya makisa ya ajbu sana. Kuna kama mipira miwili hivi ilipigwa mabeki wakashindwa kuizuia. Kwa mchina hatoki kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushindaaa...!!!, Labda ashinde NJAAJambo ni moja tu simba ashinde. Akishinda amepita lolote liwe.
Ila akidroo, ama akifungwa, abaki tu hapa bongo amalizie viporo fyakye
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita na simba wakitoka sare wote watakuwa wametolewa.Jambo ni moja tu simba ashinde. Akishinda amepita lolote liwe.
Ila akidroo, ama akifungwa, abaki tu hapa bongo amalizie viporo fyakye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafa al ahly , nkana red devils, saoura itakuja kuwa vita. Beki yangu inanafuu kuliko ya vitaMahitaji ya game ya mwisho ni tofauti sana,wewe beki yako ipo vizuri? K
Umeruhusu goli ngapi? Na vita karuhusu ngapi?Kafa al ahly , nkana red devils, saoura itakuja kuwa vita. Beki yangu inanafuu kuliko ya vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeruhusu goli ngapi? Na vita karuhusu ngapi?
Kwa Mahitaji ya game sioni Simba kama wanaweza kuhimili vishindo japo mpira unayake ila timu ikiamua kucheza bila kujilinda Simba haiwezi kuhimili vishindo na lile pazia goliniJiulize pia nyumbani nimeruhusu goli ngapi. Subir nitakufurahisha j'mosi mkuu. Wtz watatembea kifua mbele
Sent using Jamii Forums mobile app