Ili Simba ifuzu Robo Fainali, matokeo ya timu zote yaweje?

Ili Simba ifuzu Robo Fainali, matokeo ya timu zote yaweje?

Jiwe lilitupwa gizani naona unalalamika maumivu
Ni ujinga kunasibisha kifo na mpira.Ndio maana nimeuliza swali.
Ulivyo mzito wa kufikiri hukujua kwamba ni swali
Kuna wafiwa kwenye hizo sweeping statements zako hivyo jifunze ustaarabu. .
 
Ni ujinga kunasibisha kifo na mpira.Ndio maana nimeuliza swali.
Ulivyo mzito wa kufikiri hukujua kwamba ni swali
Kuna wafiwa kwenye hizo sweeping statements zako hivyo jifunze ustaarabu. .
Pole sanà
 
Acha chuki pembeni chambua mpira hivi As Vita na Al Ahly wachezaji gani wenye experience? Embu muwe mnajua ABC za Mpia sio kubisha bisha tuu.....Al Ahly wamekuja Dar es salaam na mchezaji ambae ametoka ligi ya uingereza ambaye wamemchukua kwa mkopo na akawa nazurula tuu.. narudia Tena soka la Africa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Wewe hapo umechambua? Mahitaji ya game zilizopita na saizi ni tofauti,umbumbumbu usikufanye uwe mgumu kuelewa
 
Mahitaji gani hayo?Kwa sababu hizi historia zinazojirudia tumesikia tokea Mbabane,Nkana,Saoura na Al ahly na wote walikula kichapo kwa Mchina.
Watu walikosekana kwenye hii forum sasa wameanza kuchomoza kama senene.
Walipigwa kimoko hatukuwaona leo wamebaki kushangilia timu za nje!
 
Jiulize pia nyumbani nimeruhusu goli ngapi. Subir nitakufurahisha j'mosi mkuu. Wtz watatembea kifua mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Mahitaji ya game sioni Simba kama wanaweza kuhimili vishindo japo mpira unayake ila timu ikiamua kucheza bila kujilinda Simba haiwezi kuhimili vishindo na lile pazia golini
 
Back
Top Bottom