Ili Simba ifuzu Robo Fainali, matokeo ya timu zote yaweje?

Nakuinga mkono. Pale kwa mchina hotoki mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wachezaji wa aina ya Vita kelele za mashabiki ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa maana wanaexperience kubwa kuliko Simba
Acha chuki pembeni chambua mpira hivi As Vita na Al Ahly wachezaji gani wenye experience? Embu muwe mnajua ABC za Mpia sio kubisha bisha tuu.....Al Ahly wamekuja Dar es salaam na mchezaji ambae ametoka ligi ya uingereza ambaye wamemchukua kwa mkopo na akawa nazurula tuu.. narudia Tena soka la Africa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofurahisha wake zetu wapo mstari wa mbele kuzungumzia mechi yetu.Chura kwa misimu miwili haijawahi hata kufunga hata goli la offside dhidi ya Simba .Wakitoa droo au kufungwa kimoko wanafanya maandamano na kupongezana .
Kwa hiyo sioni ajabu waki comment mechi ya mume wao.
 
Week ijayo kabla ya mechi utasīkia mwenyekiti wa tawi fulani la underdog amefariki ujue hapo kazi ishaanza kufanywa na ile kamati ya ufundi
 
Kuna kipindi uliona Al Ahly wanapiga back pass square pass,kipa anaanza kwa adui wananyang'anywa miguuni...ulimwona yule "Ajeyi" wa misri na wa dar es salaam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi ndiyo tunaanza kuelewa underdog ni nani kwenye kundi.
Hakuna underdog hapa kwa sababu mpaka sasa hakuna timu iliyoonyesha uwezo mkubwa kuzidi wengine. Timu zote kwenye hili kundi zimepata matokeo nyumbani na zimepoteza ugenini. Ndo maana timu zote itakayopata matokeo mechi ya mwisho itafuzu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi uliona Al Ahly wanapiga back pass square pass,kipa anaanza kwa adui wananyang'anywa miguuni...ulimwona yule "Ajeyi" wa misri na wa dar es salaam?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Ajeji wa Dar alifanya nini Dar?
Walishinda???
Ujinga ni maradhi. Michango inaendeleaje?
Imefikia milioni 30?
 
Na mimi narudia, vita mwepesi kuliko al ahly
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Week ijayo kabla ya mechi utasīkia mwenyekiti wa tawi fulani la underdog amefariki ujue hapo kazi ishaanza kufanywa na ile kamati ya ufundi
Kama alivofariki Mwenyekiti msaidizi wa Kamati ya usajili wa Chura Irumbi mkashinda mechi na Namungo?
Ujinga ni maradhi.
 
Kama alivofariki Mwenyekiti msaidizi wa Kamati ya usajili wa Chura Irumbi mkashinda mechi na Namungo?
Ujinga ni maradhi.
Jiwe lilitupwa gizani naona unalalamika maumivu
 

Simba inatakiwa kushinda tu na siyo kuangalia matokeo mengine..mechi za mwisho zitachezwa siku moja na nadhani wakati au muda ule ule....Kwa hapa kwetu ili Simba iwe bingwa inatakiwa ishinde game zake...vivyo hivyo kwenye game za kimataifa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…