magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Mwisho umemalizia kiume... Mpira wa Africa Kila timu nzuri inapokua nyumbani nakutolea mifano hai mingiUnafikiri Al Ahyl mngecheza nao usiku mngewafunga?? Vita mnacheza nao usiku..Mkude hayupo..Okwi sijui kama amepona ...Mechi ngumu sana ..husifanamishe Waarabu Na Wacongo..mchezaji mmoja mmoja Vita wanavipaji zaidi..Ila Mikia atashinda mipafyumu,fitna Na Refa
Raja Casablanca 6-0 Yanga
Mechi ya marudiano timu iliofungwa 6-0 inatoa sare 3-3 wakiwa nyumbani
Tp mazembe 8-0 club Africain
Timu iliopigwa 8-0 inatoa sare kwakua ipo nyumbani
Al Ahly 5-0 Simba
Timu iliopigwa 5 inashinda nyumbani
Nakurudisha makundi 2003 Simba akiwa anashiriji enzi hizo 8 Bora
Ismaily 6-1 Enyimba
Mechi ya marudiano Enyimba anashinda 2-1
Na Enyimba anaenda kumfunga kwa aggregate katika final zao mbili
Ukijua haya soka la Africa alikusumbui maana Kama pafyumu Simba just walipugwa tochi,Kama fitna zinatumika kwa timu zote za Africa, kwaio ki Africa Africa As Vita kupigika lazima...kuhusu okwi ni kwamba yupo fiti ile mechi kwetu haikua muhimu Sana kama ya kesho kutwa
Sent using Jamii Forums mobile app