Ili Tanzania kuwika kiuchumi Duniani, inategemea uongozi thabiti

Ili Tanzania kuwika kiuchumi Duniani, inategemea uongozi thabiti

Kuruka au kuchumpa kwa nchi kimaendeleo hakutegemei tu umahiri wa kiongozi mkuu, kunategemea pia rasilimali watu ya nchi. Je, Tanzania ina rasilimali watu wa kutosha kuwezesha uchumpaji wa kimaendeleo unao zungumzwa humu?
 
Kwa ukweli kabisa? Yaani unaamini kwa dhati kuwa Lusu anaweza kukabili hao wakoloni mambo leo kuliko Magufuli.

Elezea kwa nini!
Lissu hawezi kukabiliana na ukoloni mambo leo wa dunia hii uliojificha kwenye kofia ya utandawazi. Design ya Nyerere km Magufuli anaweza siyo Lissu ns ndiyo maana wamtengeneza ili waje wafaidi raslimali zetu.
 
Wapinzani wa nchi hii hovyo kabisa, kuna punguani Moja lilisema wao wakishinda watauza mashirika yote ya umma. Kaanzeni kuuza ka ofisi kenu ka saccos pale Ufipa kwanza, mnafanya watanzania wajinga eti.
 
TL ni kuwadi akipewa nchi atatengeneza ufipa conference ya.kigawa Tanzania hapo mbowe ndo atakapojikatia melerani na mlima kilimanjaro. Makabaila wakubwa
 
Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha.

Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au anayewakazia macho na kuwakabili? Na je nani anaweza kutuelekeza huko kati ya Magufuli na Lissu.

Tusijidanganye, Magufuli ndiye anayeweza hili. Kama una mawazo tofauti tuambie.
Shida sio kuwachekea au kuwakabili ni unajua nn kuhusu uchumi na maendeleo ya watu.Sasa Kama ujawahi soma uchumi Wala development study utayajulia wapi ishu za uchumi
 
Hakuna maendeleo yanayoletwa kwa kuumiza watu kwa kuwafanya wawe masikini
 
Tanzania kuwa among super power lazima tupate kiongozi atakayetubadilisha jamii yetu Ione kuwa wazungu ni wakawaida na kila walichonacho nasi tunaweza kuwa nacho.

Na ataweza hayo yote kwa silaha moja kubwa kubadilishana elimu yetu iwe kama hiyo ya hao waliofanikiwa .

Na tukiwa na elimu ya kiwango chao hatutalia pia kuwa kuna ubeberu duniani .

Na mtu pekee anaeijua njia ya mafanikio ni Tundu Lissu pekee
Huyu lissu anayeamini kuwa kujuwa kiingereza ndio kuwa ni msomi mpaka madarasa yakakuangukia? Huku anasahau kuwa kiingereza ni sawa tu na kijaluo na kifipa.
 
Tanzania kuwa among super power lazima tupate kiongozi atakayetubadilisha jamii yetu Ione kuwa wazungu ni wakawaida na kila walichonacho nasi tunaweza kuwa nacho.

Na ataweza hayo yote kwa silaha moja kubwa kubadilishana elimu yetu iwe kama hiyo ya hao waliofanikiwa .

Na tukiwa na elimu ya kiwango chao hatutalia pia kuwa kuna ubeberu duniani .

Na mtu pekee anaeijua njia ya mafanikio ni Tundu Lissu pekee
Rais wa Jamhuri ya Chadema sawa
 
Back
Top Bottom