ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Mar 4, 2024 #121 Percival said: Sasa ukifanywa wa kijeshi utazuiaje hasara? Jeshi hawana haja ya uwanja huo kwa mahitaji yao ya sasa la sivyo wangeisha omba fungu kwenye bajet kujenga Click to expand... Hasara ilishatokea sasa cha msingi ni ku minimize damage maana maintainance pia ni hasara
Percival said: Sasa ukifanywa wa kijeshi utazuiaje hasara? Jeshi hawana haja ya uwanja huo kwa mahitaji yao ya sasa la sivyo wangeisha omba fungu kwenye bajet kujenga Click to expand... Hasara ilishatokea sasa cha msingi ni ku minimize damage maana maintainance pia ni hasara
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Mar 4, 2024 #122 ILAN RAMON said: Burigi 😄 🤣 😂 pia ilitangazwa kama kitovu cha utalii Click to expand... Yule mshenzi alikuwa anatupeleka pabaya, ila Mungu akamuonyesha uwezo wake
ILAN RAMON said: Burigi 😄 🤣 😂 pia ilitangazwa kama kitovu cha utalii Click to expand... Yule mshenzi alikuwa anatupeleka pabaya, ila Mungu akamuonyesha uwezo wake
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Mar 4, 2024 #123 Stuxnet said: Yule mshenzi alikuwa anatupeleka pabaya, ila Mungu akamuonyesha uwezo wake Click to expand... Mungu aliingilia kati wakati sahihi nchi ikatulia wacha ateseke motoni
Stuxnet said: Yule mshenzi alikuwa anatupeleka pabaya, ila Mungu akamuonyesha uwezo wake Click to expand... Mungu aliingilia kati wakati sahihi nchi ikatulia wacha ateseke motoni
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 4, 2024 #124 ILAN RAMON said: Nasikia wanyama wote wamekufa ila wale tausi wa wizi wamezaana sana Click to expand... Wanyama hawapo kwenye ikolojia yao
ILAN RAMON said: Nasikia wanyama wote wamekufa ila wale tausi wa wizi wamezaana sana Click to expand... Wanyama hawapo kwenye ikolojia yao
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 Mar 4, 2024 #125 Benjamini Netanyahu said: Wanyama hawapo kwenye ikolojia yao Click to expand... In fact hii ni area yangu ya ujuzi i expected them die within a shot while since introduction and that was exactly what did happen
Benjamini Netanyahu said: Wanyama hawapo kwenye ikolojia yao Click to expand... In fact hii ni area yangu ya ujuzi i expected them die within a shot while since introduction and that was exactly what did happen